Natamani abadilishe kidogooo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani abadilishe kidogooo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shantel, Mar 20, 2011.

 1. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hi wapendwa wangu za jumapili, nimekuja leo naomba ushauri kwa hili linalonisibu, nina partner wangu tuko nae muda kidogo, nampenda na yeye ananipenda na kunijali sana, kuna hali imejitokeza kwangu nachoka na routine ileile anapofanya mapenzi na mimi. yaani kwa mfano kila tukianza kufanya mapenzi anafanya vitu vilevile kila siku pamoja yakuwa yuko fiti na ananipagawisha vilivyo natamani aje kivingine
  Nimejitahidi kama mimi mwenyewe kumfanyia mambo mengine ila ikiwa zamu yake tu utamwona na routine yake ileile hii inanifanya nipunguze hamu ya tendo, je nitawezaje kumwambia abadilike kama mnavyojua wanawake tumeumbwa na aibu? hawezi nifikiria vibaya kweli! naomba niwakilishe, na samahani kwa anaekwazika mie nahitaji ushauri jamani
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  anza wewe kuleta change, labda na wewe hua unakaa staili ile ile na yeye anapata urahisi kurudia staili yake ile ile halafu unafurahia
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  kwenye mapenzi hakuna aibu na pale utakapo kuwa na aibu basi hutayafurahi
  mweleze mwenzako vile unataka akufanyie. na usiogope kwamba atakufikiria vibaya
  siku zote kwenye mapenzi yanataka ubunifu sio yale yale ya juzi bana
   
 4. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  mapenzi hayana aibu shantel ,mwambie kwa lugha ambayo haitamletea kukwazika.
  binafsi napenda pillow talking kujua wapi nimefanya nini na wapi ilikuwa poa zaidi na wapi niliharibu.
  kila kitu kina mwanzo ,anza na hili kuongelea mapenzi yenu ya kitandani.
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Gurta si umeona nimesema nakukuruka weeee ikifika zamu yake yani anataka nirelux aanze kunipagawisha anakuja vilevile yan unaweza jisemea moyoni akitoka hapa atafanya hivi. basi ile excitement inapungua aisee
   
 6. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Raha ya mchezo ni uwazi. Lazima uondoe aibu umwambie mwenzio ilia upate burudani unayotaka. Kwa mfano, unaweza kumwambia kiutani tu kwamba dear leo nataka nijipimie mwenyewe kwa hiyo 'tangulia chini' mimi nikushushie 'ile kitu inamesa mwenzie' taratibu huku nikiisikilizia utamu wake. Halafu lazima mjenge mazoea ya kuongea maneno ya mapenzi wakati mnapanda mlima. Mkioneana aibu mtachokana haraka! Kalagha bakho!!
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Samahani asakuta same nianzaje kusema au nijifanye namuuliza yeye?
   
 8. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Yaani navojituma mpaka napata hasira, si unajua unaweza jipimia then na yeye atataka akubane chini aonyeshe maujuzi yake? hapo ndio inakuwa shughuli sasa
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Inabidi nifanye kitu niondoe hii fear ya kuonekana najua kuliko yeye, maana hukawii kuambiwa umeyaona wapi?
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii ni kweli lakini wengi wenu huwa hamna nguvu ya kusema mpaka mwanamme aanze..... dada jitahidi kumueleza huyo jamaa vinginevo hamtakuwa na muda mrefu sababu jua shetani nae anacheza karibu na uhusiano wenu!!!
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  si umwambie tuu au unasubiri watu wa marekani wawafanyie hisani
   
 12. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahaaa kwa msaada...... nishauri basi mbinu
   
 13. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa yako ana ushamba fulani. Unajua mapenzi ni nipe-nikupe. Kwa mfano, mimi mke wangu anapenda kujipimia anapofanya hivyo lazima miye nimsindikize hata kama style hiyo siifurahii sana ikilinganishwa na nyingine. Tunapoendelea na mchezo huwa nakuwa makini na huwa najua tu kuwa mwenzangu amefika pale anapotaka na huwa anatulia hapo kwa muda mrefu kiasi huku mimi nikiendelea kumpa kampani. Baadaye tuna-tune kwenye style nyingine ambayo nami naifurahia zaidi. Kwa mtindo huo baada ya kufikia kilele cha ngoma yetu kila mtu anakuwa ameshiba barabara. Hata hamu ya kurudia inakuwa hamna. Tukimaliza lazima tupeane asante kwa kila mtu kujitoa. Hiyo ndiyo rahana mwanawane!!
   
 14. m

  mareche JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sasa ni enzi za uwazi na ukweli wambie abadili steshen atakuelewa
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa hiyo hiyo style ya mkeo kujipimia ni kila siku? hamna siku unahisi kuchoka sababu ya marudio? umeshajaribu nyingine kugundua starehe yake mbadala na hiyo?
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  njoo kwangu nitakupa maubunifu y kufa m2...mana mi ni ze kirieta!!
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Shantel bwana, wewe kule unanicheka kuhusu mtu kulia kama mbuzi kumbe na wewe yamekukuta eeee, pole sana mamii , ila jifunze kuwa muwazi kwa mpenzi wako. mwambie unataka nini, kama aelewi mwekee movie kidogo jifanye embu leo tujaribu hivi. sikunyingine kama ukitoka kwenye kitchen party jifanye umesikia watu wanaongelea style fulani mjaribu. halafu then jifanye kusema kumbe kubadilibadili nasikia raha zaidi, ukimwambia hivo tu atabadilika, wanaume wako makini sana kuhakikisha wanawapa wapenzi wao mapenzi wanayosikia raha hasa wanapokusikia mwenyewe ukisema unahitaji nini.
  Mimi namwambiaga tu wala sina aibu na anajua hilo.na mara nyingi anauliza nikufanyie nini leo mpenzi. Raha tupu
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh stesheni ipi? umeanza mareche hahahahahaaa
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Zipo nyingi tu labda uniPM humu jamvini siyo rahisi kutaja. Lakini kila wakati tumekuwa tukibadilisha style na kuinjoy sana mapenzi. Kuna thread moja nilizungumzia technique za mwanaume kuchelewa kumaliza. Mimi huwa nazitumia ili nimpe mke wangu muda zaidi wa kuinjoy style anayopenda. Na yeye huwa ananipa fursa ya kukaa mkao ninaopenda lakini huwa anafanya hivyo tunapotaka kukamilisha ngoma. It is always funny! In fact, hata hamu ya kutoka nje huwa siioni kabisa.
   
 20. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  hakuna kujifanya we mweleze unahitaji mabadiliko ,ukishindwa badilisheni sehemu ya kufanyia hayo mapenzi yenu hamieni hata serbuleni ,jikoni nk.
  pia kuna vitabu kibao mnaweza kuvitafuta na kuvisoma kwa pamoja.
  nipm email yako nikutumie baadhi ya vitabu na video msome na kuangalia kwa pamoja ,hope atachange km unavyotaka.
   
Loading...