Wa mkoa na wa Dsm yupi wa kuoa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,819
Wengine wanaenda kuoa vijini, wengine hawataki wa vijijini wanataka wa hapahapa mjini, wanasema wakioa wa vijijini wakifika mjini wanazibuka na kuyalimbukia maisha.
Jamani kati ya wa bush na wa tauni yupi anafaa kuwa mke wako?
 
Wa bush aliyelelewa ktk maadili mazuri,pili wa bush hata mkigombana hawezi kukuambia narudi kwetu sina shida. Wamjini kwanza muda wowote anaweza kurudi kwao,pili ni rahisi sana kuliwa nje hasa na ma ex boyfriends zake!hii inatokana na ushahidi nilionao!hasa wa kkoo,ilala,magomeni,buguruni,manzese huna mke kaka
 
Sasa we umesema wa dar na mkoa,kwenye maelezo yako umesema mjini na kijijini,inamaana dar ni mjini halafu mikoani ni kijijini?
 
Inategemea kuoa unakuchukuliaje. Kama unachukulia kama recruitment basi list down sifa na weakness za wa mjini na wa kijijini then analyse nani ana marks nyingi, oa.

Kama ni unaoa kwa ku fall then ni likely utaoa aliyekaribu yako.
 
Tupe uzoefu wa yule wako uliyeoa bikira akaenda kuzaa ukazodolewa na manesi kuwa kaliwa tigo ha ha haha acha vituko wewe Bujibuji
 
We bujibuji jana tu umesema unaoa mwezi ujao tena ukasisitiza uko serious na umeishampata mchumba... Niliamini ulikuwa hutanii.... Sasa tuambie wewe kwanza wako wa bush au downtown....
 
Wengine wanaenda kuoa vijini, wengine hawataki wa vijijini wanataka wa hapahapa mjini, wanasema wakioa wa vijijini wakifika mjini wanazibuka na kuyalimbukia maisha.Jamani kati ya wa bush na wa tauni yupi anafaa kuwa mke wako?
Mkuu wala usipate tabu, nenda mkuranga ukajipatie jiko lako mapema!
 
jamani mwanamke ni mwanamke awe wa porini, shambani, mjini au hata ulaya, kama humridhishi kitandani jua kwamba atamegwa hata na houseboy au dereva.
Wanawake wanahitaji kuridhishwa kitandani, mpe heshima yake, mlishe vizuri na umpambe hamna ambaye atakumegea, labda ukianza kum'boa kwa kumuomba tigo
 
Sasa we umesema wa dar na mkoa,kwenye maelezo yako umesema mjini na kijijini,inamaana dar ni mjini halafu mikoani ni kijijini?

Humjui bujibuji weye? elewa kama unavyojua mkuu...mengine mwachie Bujibuji mwenyewe....
 
jamani mwanamke ni mwanamke awe wa porini, shambani, mjini au hata ulaya, kama humridhishi kitandani jua kwamba atamegwa hata na houseboy au dereva.Wanawake wanahitaji kuridhishwa kitandani, mpe heshima yake, mlishe vizuri na umpambe hamna ambaye atakumegea, labda ukianza kum'boa kwa kumuomba tigo
Wewe HUAMINIKI, kuridhishwa gani huko unakokusema wkt unalaumu wanaume wa Jamvini? teh! Bora nioe kwa wamakonde!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom