Morning glory:fall in love with your destination(know exit strategy than entry strate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morning glory:fall in love with your destination(know exit strategy than entry strate

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  fall in love with your destination(know exit strategy than entry strategy)

  halelluya haleluya namshukuru mungu kwa ktupa siku nyingine tena tuweze kupeana neno la mungu na kulishana kiroho tuweze kuona ufalme wa mungu,wapo wanatafuta kuiona leo lakini usiku wa leo wamefariki dunia je we umempa nini mungu??kwa nini usikubali kumpokea bwana na kufanya kazi ya bwana ??
  leo hii tunakumbusshana jinsi ya kujali na kuheshimu muda uliopo dunian ukisubiri mbingu ya bwana,,watu wengi wanaajiriwa lakini awajui lini wataondoka,,1kor 2:9 anasema utafuten ufalme wa bwana na haki yake mtazidishiwa!!je unatafuta lini wakati ni huu…,jithdi kujali muda uliopo, wb wanajali kupeleka wawekezaji kigezo cha kwanza ni mnachukua muda gan kuregister comp,leo hii wafanyabiashara wanakimbilia mombasa sababu ya ubabaishaji bandari ya dar es salaam,(muda),min lost mny lost.ukipoteza muda kwa mfanyabiashara umepoteza hela,same to us tuliokombolewa ukipoteza muda unapoteza baraka zako kwenda mbinguni,,tumia muda wako dunian kumtumikia bwana mungu wako
  muda auwezi kukusubiri,wewe unausubiri muda,abiria wengi wa ndege wanajali muda,mud a ni personal,kila mtu ana muda wake,ayubu 17:11 mfn leo tar 27 wote tuna tar hii lakin siku zetu zinafanana kama na kama uamini,makaburin..tara kuz……tar ya kuf…..ukienda ukasoma means muda unaesoma muda wake umeisha wewe bado ndio maana unasoma aliz akaf lini…..mawazo ya mungu juu yako ni tofauti na yangu..usiseme ameishi miaka mingi naomba kama yule ujui aliishi miaka mingi kwa shida gan..kuwa makini unaposali
  kila mtu akifikiri kuajiriwa nani atamwajiri mwenzake wapendwa,..wote tukisema tuwe wakulima kazi zingine zitafanywa na nani..fikiri yesu anachofikiri..yesu alikufa akiwa na miaka 40 akaacha mambo makubwa dunian leo hii una miaka 70 hata ukumbusho dunian huna..yesu alitumia muda wake vizuri nasi tuige mfano wake…..
  usijisumbue kuitafuta siku ya jana aipo,,muda unaendelea mbele angalia mbele kuna nini juu ya maisha yako,yesu amekuwazia nini kwa muda uliobakia…mwombe mungu akufungulie uone umebakiza siku ngapi dunian ….


  jua exit strategy tha entry strategy..wengi wanajali entry than exit..kama una mpango wa kutoka kwenye ndoa usiingie kwenye ndoa exit yake ni kifo..ulitamka mpaka kifo kitakapotutenganisha haleluyaaaa…wafanyakazi wengi wakiajiriwa awajui wanatoka lini..ukiajiriwa siku hiyohiyo unatakiwa kujua muda wa kutoka alleluyah..ndio maana leo hii wastaafu wengi wakiachishwa unasikia pressure shinikizo nk..unawazaje kustaafu miezi sita kabla ya kustaafu ni uovu….miezi sita n kama sekunde....ndio maana naomba jitahd ukifika mpaka miaka 36 uwe umeshasmaliza shule yako..leo hii kwenye tangazo za kazi wameiongeza kipengele si zaidi ya miaka 35..alleluyah….wazee wengi awajui muda unakutana na mtoto wake unajiuliza huyu ni mjuukuu ama….usiwe mlevi wa kuajiriwa tu pengine kuna kazi nyingine unaweza fanya zikakupatia kipato zaidi na kukufanya kuondokana na magonjwa ya moyo siku yako ya mwisho kazini..amen…

  unajua tunalaamka lakn kuna watu wanafurahia folen za asbh…kila siku just wameenda kazini..imagine ajir za sasa wanauliza una knowld y a comp,lesen ya gari..yaani zote hizi ni wewe na hii ni kufta muda wa kuchezea…hata bank wanajali muda awakupi mkopo mpka uonyeshe utapataje faida…soma ayubu 36:11 wakisikia na kuntumikia wataongeza siku zao za kunitumikia na miaka yao ya furaha..usione watu wanamtafuta bwana ukahisi machizi wanatafuta kuongezewa siku za kuishi…jaribu lolote ni mlango wa kumwona mungu,ni promotiona maana ukilishinda unamwambia shetan ahsante kwa kuja maana nimepanda cheo niko juu sasa ndio maana wanasema kila jaribu kuna mlango wa kutokea…rum 8;28wengi awajui mbingun kuzuri kuliko dunian..muulizen paulo kama utafika mbinguni alisema kuishi n kristo kufa ni faida alijua nikiwa dunian natakiwa kumtumikia mungu je wewe uko na kusudi gan mpaka leo huko hai??


  Don't fall with a vehicle fall with destination..uwezi kwenda airport ukasema jaman hivi tumefika m naomba nirudi na gari yako nimeipenda..penda kule unakokwenda..wazee wengi leo hii wamefall in love na kazi zao tu badala ya kufall with thir destination..alleluyah..unaitaj kumwomba mungu akufunulie ukiingia kazini utoke ukiwa na furaha na si kuwa na mawazo ya kupelekea magonjwa yasiyo na dawa wala vipimo hapa tanzania amen….


  muda wapendwa huu ulio hai na nguvu zako jitahdi kumtumikia mungu ..andika kila jumapili ratiba yako kuanzia jum3 mpaka ijumaa utamtumikia bwana kivipi..chukua muda wa kufunga na kuomba ..ufunguliwe shida zako…ukifanya mchezo utaishia kwa wasoma nyota kuomba usomewe mapepo….ubarikiwe chukua muda wa kusoma neno la mungu sawa na yoh 17:17…baraka za bwana zikawe kwako in jesus name..receive blessing to your bussiness,marital bliss,health,your financial,say goodmorning my bussiness,,my financial my everything..amen
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Amen
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Ndefu sana
   
 4. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Amen to that Pdidy, be blessed
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  God bless
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mkuu unafanya kazi gazeti gani?
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amen
  lakin ndeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu sana
  sumaaris kdg


  mie nimeona yohana ngap ndo nkasema amen lakin walaaaa hata sjui umeandkaje...
   
 8. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  The Following User Says Thank You to Pdidy For This Useful Post:

  birungi (Today) ​
   
 9. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  amina mpendwa
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ulivyoiweka umenipa wazo hivi aliyeweka kile kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe ni nani? Mh akili yangu leo siyo hawa wajaluo na wakikuyu wameichakachua
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Amen..
  Sante mkuu
   
Loading...