Jaribu kuwaza ingekuwa CHAKI..................... Ingekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaribu kuwaza ingekuwa CHAKI..................... Ingekuwaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, Jun 25, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukweli napowaona wanaume wenzangu hasa wanaopenda sana wanawake/mademu huwa najiuliza maswali kibao kuhusu hizi lolipop! Utakuta mtu anajisifia eti ashatembea na wanawake kibao wakati mwingine hata zaidi ya 50, sasa ebu jiulize assume huyo jogoo wako anaewika kwa kila mwanamke angekuwa anaisha kama chaki za ubaoni ingekuwaje?
   
 2. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  aaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiii!!!!!! mwaswali mengine.... khaaaa!!!!
   
 3. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ningemtuma mwanafunzi akachukue pale ofsn fasta. Au ningekuwa na mabox ya chalks kibao.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,450
  Likes Received: 22,396
  Trophy Points: 280
  ndio maana sio chaki thats why haiishi.
  Huenda zikikuwa kama chaki basi na madukani zingekuwa zikiuzwa, ikiisha unaenda kununua nyingine.,
   
 5. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  km zingekuwa chaki basi vitu vingi vingekuwa c km ambvyo vipo leo...ipo hvyo coz ndivyo ilivyo.
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Au ingekuwa kama mshumaa!!!!
   
 7. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 587
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Je umewahi kujiuliza nyayo za miguu zingekuwa zinaisha kama soli za viatu, ungekuwa umebadili ngapi hadi leo hii?
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhhhhhh
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  chaki za ubaoni zikiisha ni wapi huenda kuzipata nyingine?.............................hilo halingemfanya ache ngono kwa sababu angelizinunua za akiba............na mambo yote yangeliendelea mdundo moja kwa zote.....................
   
 10. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Swali la kitoto hili.
   
 11. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio sio chaki sasa, kwa hiyo hakuna cha kujiuliza
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  duhhhhh
  hiyo ni nightmare....
   
 13. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  KAMA INGALIKUWA KAMA CHAKI BASI KUNGELIKUWA NA VIWANDA VINGI VYA KUVITENGENEZA.Mhhhh,hili swali ni km vile unajenga nyumba angani,coz ni kitu kisichowezekana
   
 14. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Una njaa kama kajina kako.
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa chaki wanawake wengi wangesomea ualimu
   
Loading...