Katika nyakati hizi tulizo nazo kuna jambo linanitatiza, ninavyofahamu mimi wakati wa kuanza mahusiano, wahusika huwa wanaongea mengi including I love you so much, silali nakuota usiku kucha...
Leo asubuhi kwenye kituo flan cha radio kulikuwa na mjadala kuwa,wanaumd wa kibongo ni unromamtic,sijui hili lina ukweli gani hili wadada naombeni ukweli!!
wa ndugu je kama usingekuwa ugonjwa wa ukimwi je maisha ya kijamii(kindoa, mahusiano ya jiko kubwa na ndogo, mahusiano ya boyfriend na girlfriend nk yangekuaje? Soko la akina dada poa, je akina...
Jamani mimi kuna kitu nime notice. Kuna baba nasoma nae ni mganda mtu mzima sana alichelewa kuoa na ana watoto watatu, last born wake ana miaka minne. Huyu baba alikuwa anatuambia juzi kuwa yeye...
Wadau,
Maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari imefanya usaliti katika ndoa na mahusiano kuwa rahisi sana. Zamani ilikuwa vigumu sana kutongozana kwa kuwa ilikuwa ni lazima muonane na...
WAPENDWA WANA JF,
Kwa muda mrefu dada zetu wamekuwa wakilalamika kila siku kuwa ndoa zao zinaenda mrama kwa sababu waume zao au wapenzi wao wamekuwa not responsible hasa ktk 6 x 6. Yaani mume...
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza...
hodi hodi waungwana
napenda mnijuze jambo hili
nimeolewa na nina miaka kadhaa katika ndoa yangu....kuna jambo nataka niwe clear ....mume wangu mara nyingi amekua akinisifia kuwa 'kitumbua changu...
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama...
Dear wapendwa
Tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 Rasmi ya ndoa na mwaka Mmmoja rasmi wa mwanangu Faith P Didy
Pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama...
Jamani ni miezi michache iliyopita nilimwomba dada mmoja uhusiano na nilimpenda kweli. Akaanza malingo mara hapokei simu , mara majibu mkato etc. nilileta hapa jamvini watu wakasema hiyo ni dalili...
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje...
Looking for a husband? Or a wife? Want to know the single biggest mistake you can make? Its not dating enough! And why is that?
Well, things like making a sale for example, finding a new job, or...
Ms Rita Muchiri wants to get married. And like many women, she has set standards for the kind of man she hopes to settle down with.
He should be tall, brown, financially stable, well-educated...
Wale wenzangu na mimi tunaopenda kufanya tafiti nyepesi nyepesi za maisha mtaani utajagundua wasichana wa siku hizi wanapenda zaidi kuwa na wanaume za watu kuliko vijana wenzao ambao ni single...
Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuolewa. Hafai kuolewa kwa sababu anategemea kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.