Mchumba

Brian24

Member
Jun 23, 2011
11
0
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi
 
mbona nasikia wanaume weupe ni maheart breaker.......inaogopesha ujue
 
tupia advert yako kuleeeeeeeee,,ze utamu.........!!!!!!!!!!!!
 
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi
1. Nani kakuambia kuwa wewe ni mtanashati? Au ndo biashara matangazo?2. Unamtafuta mwenye kazi ili umchune?3. Hapa ni MMU, mchumba anatafutiwa kule Kulikoandikwa Love Connect.
 
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi

Kwanza soma hii: https://www.jamiiforums.com/love-connect/138719-natafuta-mchumba-wa-kuolewa-kuoa.html

Then unayemtafuta anaweze kuwa huyu, unless you are the same: https://www.jamiiforums.com/love-connect/149261-sereous-relation-shp.html
 
usijali wewe , tafuta tu ,watu wanatafuta hivyo hivyo usipo sema utampata? sema bro,, huwezi jua ,,
 
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi[/QUOTE nenda sehemu iliyo sahih.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom