Natafuta ambaye ni kama mimi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta ambaye ni kama mimi

Discussion in 'Love Connect' started by Tanganyika1, Jun 26, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Naposema ni kama mimi namaanisha alokutwa na yalo nikuta mimi...mpenzi wangu aliniacha mwaka 1 uliopita na akaolewa. Niliumia sana nikakata tamaa ya kupenda tena...ila naona kwa sasa maumivu yametulia.....nataka binti alotulia tena ningependa atoke hapa jamii forum....mashart ni kwamba huyo binti awe amewahi kuumizwa kama mm, najua na yeye atakua anafahamu ninh broken heart....jamani niko serious. 0784847753 contact mi tukiridhiana mambo mengine yataendelea. NB: Am handsome......
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh haya wale wa mahandsome,kijana ndo huyo kazi kwenu
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Pole kwa kuumizwa. Post yako hii inaonyesha kabisa majeraha yako bado hayajapona japokuwa mwaka mzima umeshapita. Unahitaji proper counselling ili kuodokana na hali hiyo.....!! Kutaka binti kutoka kwenye internet ni dalili ya kukata tamaa!
   
 4. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nakuona kwenye avatar yako hapo..........very handsome...........
   
 5. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio mambo ,bro lakin kwanini umeamua kutafuta ktk jamii forum?second why hukueka picture ? third watu hawato chukulia kama kweli unahitaji,, fouth,, mm nahisi mchumba wa kuchati n kama bahati, unaweza ukapata mwenye huruma but si sana wengi wao ni waongo ,si wanaume si wanawake ,ushauri wangu bora uwe na subra kutafuta tu huko huko ,nyumbani ,utapta mwenye huruma,, na anaejua maumivu ,na thamani ya mapenzi,,pole sana matatizo humfika mja na waja ndio sisi..:A S cry:
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Du wewe ni handsome? Kama Ben Kinyaiya?
   
 7. k

  kisukari JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  good luck.
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kila jema liwe nawe
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  wamama na wabibi wa JF mchangamkieni kijana huyo, bado mbichiiiiiiii
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ok handsome ..
  All the best ..
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Seems your more than serious even phone number? All the best, dont forget the feedback in whatever that will happen.
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  IS looks the only qualification you are bringing on table...........apart from sharing sad relationship experiences..................hivi unajuaje ya kuwa you are really handsome?.............I have always thought that do not raise the bar unnecessarily if you can help...........................................it may turn out to have been the Waterloo in your previous relationship...................................keep your best attributes under the table and let your next conquest discover them on her own pace.....................................do not shove them on her...................as a matter of fact looks are not prime on gals' prying minds these days.........................................although the expectation of beautiful offspring may nudge her onto them..................
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaaa Sasa ndio nini kumjibuKwa English . Ungeandika kiswahili labda Angekuelewa au wa penda ku assume kila mtu anajua English ...Labda hilo neno handsome katoaKwenye tape ya Dully syksi...Ungempa maneno manne au matano basii..Angekuwa anataka majibu ya English basi Angeuliza kwa lugha huyo..
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  sidhani hata kama kiswahili kingelimsaidia sana labda aache kutumia neno handsome...............................aseme yeye ni chuma...................naona hizi tambo zake ndizo zinamletea migogoro na wapenzi wake na hivyo ajirekebishe kwanza....................
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  My dearKuna wengine wajiangalia kwenyekioo na kuridhika na kuna wasichana Wengi tu wanapenda kununua sura sasasasa labda ye anawa target hao wanunuaji..Basi mwache aendelee na biashara ...
   
 16. S

  Sikubali Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ila hawa wachumba wa kuwapata kwny mitandao pia c vizuri,nakushauri kuwa na subira2.
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mmmh! Gudluck!
   
 18. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kila la kheli
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utafankiwa tu, hamna kinachoshindikana! All the best
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kila la heri mkuu lakini angalia sana, kuna wa2 ambao wameshaumizwa mioyo na walichobakiza ni kuwatenda tu wenzao ili walipe kisasi sasa kuwa makini wasije anza na wewe ukajikuta unalia zaidi ya hapo!!
   
Loading...