Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

mimi najua humu ni jukwa la great thinkers sasa mtu anpofanya kosa na kumchekea tunajenga tunabomoa? alafu ukiweka post ili turekebishane ana tetewa kwa kufuta post.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wasalaam, ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa. Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu. Pia...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za...
1 Reactions
176 Replies
9K Views
Huyu ndo katoka kazini,kapokewa na mkewe kipenzi kambusu kampa pole ya kazi,mezani tayari kuna supu ambayo ni sharti mumewe anywe ili apunguze uchovu,mke huyu ini darasa la saba,ni juzi tu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hii ya moto moto kutoka Clouds. Mwanaume mmoja huko Shinyanga amefumaniwa (tena ndani ya chumba chake na mamsapu) akila uroda na house girl wao. Imekuja kujulikana huwa anamla takribani miezi 6...
2 Reactions
122 Replies
15K Views
Babies Detect Sadness in Voices at Three Months BABIES as young as three months old can distinguish sad from neutral-sounding voices, according to a new study. Parts of their brains tasked...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nina umri usiozidi 31, nina watoto 4 kila mmoja na mama yake, wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, wa tatu nikiwa internship na wa nne nikiwa chuoni tena. Wawili kati ya...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wazazi wa bw arusi kuingia ukumbini, then wazazi wa bb arusi, then bw na bb arusi kuingia ukumbini (wimbo wa kinigeria), then kufungua champaign, then kukata keki, then kupeleka keki kwa wakwe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna msichana nafanya naye kazi katika kampuni moja. Sasa tumezoea kweli kutaniana na kuitana majina ya Kimahaba huku kukiwa hakuna uhusiano wowote wa Kimapenzi. Jana saa nne usiku nikiwa nafanya...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
huyu dada jamani (kama kweli) mamods naomba mumpe walau kamisheni ( au wee mod nini) maana mda wote npatao upenyo lzm ukute koment zake kwenye thread mbalimbali...najaribu kuifikiria aina ya kazi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
NIMEUKUMBUKA MKAO HUU:- KUKAA PAMOJA FAMILIA NZIMA KWA KUJUMUIKA KULA!! Picha hii imenikumbusha enzi zile miaka arobaini na saba familia nzima inajumuika pamoja na kushika chakula iwe cha...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari MMU, Kwa muda mrefu sana, nimekuwa nikisoma mada za hapa MMU ili kujipatia mauozefu. Ila leo, na mimi napenda nilianzishe ili tulijadili wote. Nimefanya kautafiti kadogo na kugundua...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wana Jf, imenitokea mara kadhaa na nimekuwa nikijionea pia kwa rafiki zangu wa karibu....mwanaume ukishaanzisha tu uhusiano na mwanamke, basi mwanamke ndo anakuwa wa kwanza kutoa masharti mara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wana jamvi tusaidiane hii scenario,nimekua nina mpenzi kwa muda wa miaka 2 sasa huu waenda 3,katika muda wote huo nimekua nikiona mapungufu mengi lakini mengine nimeyamezea na kuyavumilia kwani...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali. nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana...
0 Reactions
154 Replies
15K Views
tukifananisha makampuni ya cmu na mademu,airtel ni sista du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo,vodacom mchumba wa kuoa kabisa,zantel jimama la kulea vitoto,ttcl kibibi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
najua mnaipenda kazi yenu jamani embu jalini na familia zenu ,,overtime tamu lakini kuitwa mjomba na watoto zako sio raha kila siku ukija wanakuita mjomba uncle wewe jamani embu haya mambo tuwahi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu, hivi ukishazaa na kuachika unaweza kupata mwanaume mzuri akakupenda wewe na watoto wako maana watu wanasema eti ukishazaa thamani inapungua. Nisaidieni jamani i'm a single mother and i...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Vuuuuuppp!!!! Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom