ROse1980

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
huyu dada jamani (kama kweli) mamods naomba mumpe walau kamisheni ( au wee mod nini) maana mda wote npatao upenyo lzm ukute koment zake kwenye thread mbalimbali...najaribu kuifikiria aina ya kazi uifanyayo binti wewe...nyingine hadi saa 7 ucku..hivi umeolewa?asa inakuaje mda huo au ndo unatupia za via mobile web wakat jamaa anamaliza....:caked:
 
Jaman kwani JF mwisho wakucomment saa ngapi?
 
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 10th May 2010
Posts : 4,485

Rep Power : 32

Sio kweli mkuu kama ingekuwa kweli usemayo kuanzia May mwaka jana angekuwa amegonga POST kama 10,000
 
huyu dada jamani (kama kweli) mamods naomba mumpe walau kamisheni ( au wee mod nini) maana mda wote npatao upenyo lzm ukute koment zake kwenye thread mbalimbali...najaribu kuifikiria aina ya kazi uifanyayo binti wewe...nyingine hadi saa 7 ucku..hivi umeolewa?asa inakuaje mda huo au ndo unatupia za via mobile web wakat jamaa anamaliza....:caked:

Mtumie Invisible sms basi
 
Kumbe kijana unafanya utafiti. Niambie ulianza lini huo utafiti wako ili tujue unachoandika ni kweli?
 
huyu dada jamani (kama kweli) mamods naomba mumpe walau kamisheni ( au wee mod nini) maana mda wote npatao upenyo lzm ukute koment zake kwenye thread mbalimbali...najaribu kuifikiria aina ya kazi uifanyayo binti wewe...nyingine hadi saa 7 ucku..hivi umeolewa?asa inakuaje mda huo au ndo unatupia za via mobile web wakat jamaa anamaliza....:caked:

mwache Rose wangu bana,
mbona hivyo weye mkono wa nyau?
Kidume hupendezi kuwa mbea bana......................lol...
angalia utavishwa dela shauri lako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Rose unastahili pongezi tena sana ila Lizzy kakuzidi.
For sure Lizzy ni peculiar anavyotetea hoja zake.
 
Back
Top Bottom