Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vuuuuuppp!!!! Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Hasa mida ya asubuhi ukiingia ofisini utasikia.....hiiiiii mambooo umependeza wigi lako umenunua wapi? Ilihali ukimwangalia hilo wigi ni kama helmet ya pikipiki ambayo no oversize. Na mwenyewe...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
Tukiwa katikati ya mchezo akaniambia maneno haya "give it to me", nikampa, tena nikaongeza nguvu na spidi, bado akaendelea kudai nimpe, na akaongezea usiniogope sima nikupe nini? Nimejiuliza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
naomba kupata ushauri hasa kwa walioana,,, je nni mda gani muafaka unaweza kukaa na mpenzi wako kabla ya kuoaana? mf miaka 2? 5? miezi6? au? naomba ushauri,,,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF? Mwenzenu nilikuwa Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
kwanza salamu nianze kwa kusema nilipokuwa kijana nilikuwa na maisha magumu sana kwa upande wa mahusiano/uchumba nilipokuwa sekondari high nilikuwa na rafiki yangu wakike niliyempenda sana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli. Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Haya ni majini ambayo dawa yao ni kufyeka na damu ya yesu..unawasha moto wa yesu kwanza kabla ya kusali kuna mabinti kila wakipata mchumba wanaishia kuvishwa ring za engagement isiwe kwako in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu. Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011...
10 Reactions
93 Replies
7K Views
Habari yenu wote wahusika wa hapa? Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari zenu ! Natumaini wote mnapenda wapenzi wenu wawe na sifa zote mnazozihitaji, Swali langu ni kuhusu sifa mbili kati ya nyingi za mwanamme. Kuna wanaume wawili, mmoja ni mwaminifu,hawezi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Malenga ninawajia, kisima nakisifiaMachoni kinavutia, nakipa mia kwa miaumbo lake asilia, bado halijafuliaKisima hiki kisima, raha kinanipatiaNdani ninavyo ingia, akili zangu zarukaNabaki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wa JF, Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili...
3 Reactions
73 Replies
5K Views
Mara kadhaa imenitokea na pia nimesikia wenzangu pia wakishuhudia........wakati mwanaume anapokuwa katika harakati za kuomba uhusiano kwa mwanamke hukumbuna na maswali kama....hivi umenipendea...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Hili nijini linalofanya kazi ya kukutenganisha wewe na bosi wako jini hili huhakikisha kwa bosi unaonekana kama choo kikubwa habath hili ni jini msaidizi linakaa chooni bosi wako akienda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili ni jini linalocheza naakili za watoto zetu..yawezekana abako na mama walitumiwa hili ndio maana kila kukicha kwenu chuo kikuu ni hadithi ...sasa basi ifike wakati sema imetosha kama unasoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu. Matokeo kanitukania boss wangu . Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Hiili ni jini linalosumbua sana ndoa za watu ,hupitia kwa watu kupitia vikosi vyake vidogovidogo vya jini mahaba, hili jini moto wake ni kuona aupo kabisa na kama ukikomaa ujasimaa na mungu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom