Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kawe kuna vituko embu jaribu kuhamia hata kwa mwezi tu jamani jana nikiwa natoka kwa job nikapita kuelekea kunyumba nikapita kamto fulani wanaokijua ukifika pale mayfair unaingia kulia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Accuser's lies jeopardize DSK case, experts say Former International Monetary Fund leader Dominique Strauss-Kahn leaves New York … Dominique Strauss- Kahn leaves New York State Supreme court...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo; Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
A love that have purpose is a rich love??
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hi! Wakuu! ni siku njema na jumapili iliyotulia kabisa ikisindikizwa na kaubaridi ka ukanda wetu wa kaskazini, bt wakati wengine wakiwa wanajiandaa labda kwenda kusali au kwenda out au lolote...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salam wadau, Ijumaa ya leo imekuwa ya furaha sana baada ya wife kujifungua salama mtoto wa kiume
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Great thinkers habari za weekend. Nina babu yangu mwenye umri wa miaka 73,bibi alifariki yapata mwaka mmoja na nusu umepita.sasa hivi babu ana mpango wa kuoa mwanamwali kigori wa miaka...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Hamjambo wakuu? Mimi ni mke wa mtu. tuko pamoja sasa miaka 3 ila mwaka huu mwamzoni tulienda likizo home town kwao na niligundua kua mume wangu alienda party na mpenzi wake wa zamani. Mimi...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Which man/woman should be given another chance? 1. The one who has sex with someone else and confesses 2. The one who has sex with someone else and gets caught then confesses 3. The one who...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
WHICH COUNTRY IN EUROPE HAS THE MOST BEAUTIFUL WOMEN? [+] ballot by LCD created Fri Nov 10, 06 <tbody> Sweden 12%...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Zaidi ya wanawake 250 wa mji mmoja nchini Kolombia wameanza mgomo wa kuwapa unyumba waume zao ili kuishinikiza serikali iifanyie marekebisho barabara inayoingia mjini humo. Wanawake katika mji wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wote? Mimi nina swali hapa linanitatiza kidogo, kuna rafiki yangu wa karibu, ana mpenzi wake na mahusiano yao yamedumu kwa takribani miezi minne sasa, na kwa kipindi hiki wamekua...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hi wanajf.Hayati wa dar natafuta marafiki wa kuchat ilikubadilishana mawazo.pia natafuta mchumba ambaye atakuwa na tabia njema.mobile 0712143355.ahsante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara mdada anapokutana na kijana wa kiume anakuwa na mtazamo gani ndani ya nafsi yake? Kuna hadithi moja ya kijana na binti walikuwa wako katika maandalizi ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
You’ve probably heard that men cheat for physical reasons, women for emotional reasons. Sure, there’s some truth to that, but when we asked real women around the country to share why they strayed...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu nilipozaliwa na kupata fahamu zangu ninasikia wakubwa na wadogo wanalitamka na kulitumia neno MAPENZI.Naomba wn jf mnisaidie maana halisi kwa sababu linapolituka kwa kijana mfano ukimwambia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hi guyz im troubled with loving a chic we r in the same class.we are both in 3rd year in university pursuing same course.she had a bf bt they later broke up then we hooked up bt the ex has...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu,naombeni ushauri,kweli nakiri nimekosea. Suala langu lipo hivi,mimi nilizaa na mwanamke mmoja japo sikumpenda kwani nilijipa moyo nampenda kumbe ilikuwa si kweli kwani nilikutana naye...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
I have my friend, ameshawahi kuwa na uhusiano na wasichana 3 ambao sasa hivi wote wamekuwa machangudoa wanajiuza! Huyo wa kwanza alidumu naye kama mwaka,then wakaachana kuna mshkaji alimuona...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom