Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Wazazi wa bw arusi kuingia ukumbini, then wazazi wa bb arusi, then bw na bb arusi kuingia ukumbini (wimbo wa kinigeria), then kufungua champaign, then kukata keki, then kupeleka keki kwa wakwe... nk Yaani siku hizi harusi hazina jipya, hata mda wa kuanza sherehe, styles za kupamba viti na majukwaa,... yaani hadi inaboa..
Utasikia mara moja kwa mwaka kati ya watu unaowafahamu, mtu kafanya style tofauti, mfano arusi kufanyikia garden, hakuna majukwaa, harusi za zaidi ya siku 1, watu kujichomea chama wenyewe, watu kujinunulia vinywaji wenyewe, arusi kufanyika asubuhi nk. Kwa ambao hamjafanya arusi, kuweni wabunifu bana...