Hii ya leo imenisikitisha sana! Hivi wanaume tukoje jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya leo imenisikitisha sana! Hivi wanaume tukoje jamani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mito, Jun 29, 2011.

 1. mito

  mito JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,607
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  Hii ya moto moto kutoka Clouds. Mwanaume mmoja huko Shinyanga amefumaniwa (tena ndani ya chumba chake na mamsapu) akila uroda na house girl wao. Imekuja kujulikana huwa anamla takribani miezi 6 sasa - house girl wamekaa naye zaidi ya miaka 2 sasa.

  Wife alivyotaka kujua kwanini jamaa anamla huyo house girl, jamaa akadai eti house girl anaweza kuruka ukuta wakati yeye wife hataki.

  Hivyo kama anataka aendelee naye basi naye akubali kuruka ukuta (sasa sijui atakaa nao wote wawili au ...). Mama wa watu amejiondokea, ameacha hapo watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana 4.

  Leo ni mwezi wa pili jamaa anaendelea kufurahia tigo ya house girl. Kinachonisikitisha na kunishangaza, yaani tumefikia hatua hii jamani? kusema kweli mimi kama mwanaume nimejisikia kuumia sana moyoni mwangu! kwanini tunawa-treat hivi hawa viumbe? Nawasilisha jamani.
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  lol....siku zote vitu haramu ndo huwa vinapendeza kweli machoni mwa wanadamu,

  siju ni kwanini tu,................................................

  ngoja nile mtori hapa kwanza , nitarudi...................
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh huyo housegirl kaamua kubaki?
  Kweli dunia iko ukingoni
   
 4. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyo baba analaana sio bure,pole zake huyo mama mungu atamsaidia
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  imenisikitisha sana...kisa eti twanga kotekote mwanamke hataki laana tupu na wanawake nao pia tatz housegirl kabak na anasema eti ajui kumtunza mwanaume acha yey anayejua kutunza afanye mambo...
   
 6. c

  charndams JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mbona hueleweki??? eti housegirl anaweza kuruka ukuta...jamaa anafurahia tigo ya housegirl...maana yake nini???? tumia basi lugha nzuri bwana ili tuelewane.
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh!
  Majaribu mengine ni kusali sana kwa nguvu zetu hatuwezi.
   
 8. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dhu! huu ulimwengu sasa ni zaidi ya sodoma na gomora.

  huyo mwanamke aliyeondoka na yeye hana huruma kwa wanae?? amewezaje kuondoka na kuwaacha wanae wadogo hivyo? 2yrs, and 4yrs hapana mie siwezi popote wanangu ndio pochi yangu
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  i wsh wanaume wote wawe na moyo na akili km za kwako.

  may god bles ya
   
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Mambo ya kileo hayo,oooh mtandao ndo dili sijui nini!Haya bana
   
 11. c

  charndams JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mungu humsaidia anayejisaidia!!! Huyo mama yafaa akae "ngumu". amtimue housegirl pamoja na huyo baba waende wakaeneze upuuzi wao kwingineko na siyo chumbani kwa huyo mama. just imagine haya yote yafanyika kwenye matrimonial bed....hii balaa
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Yesu, uya uya
  Yesu uya uya
  Yesu uya..uyaaaaa
  Ikunda msie wuyanenyi
  Yesu uya uya..woimeny!
   
 13. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye red kwani una jinsia gani ?
   
 14. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hahaha! Ikunda myesia..YESU UYAA!
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Teh! Kwan tigo ni haramu? Wanasema ukishaanza tigo huiachi lol!
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ndio madudu gani haya bhaaana?
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nyie vipi? Mmekuaje?
   
 18. A

  Aine JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani jamani!!!!!! lakini huyu mama angemuondoa hg, kisha akaondoka yeye na wanae hata kama hg angerudi lakini angekuwa amerudi kivyake
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sredi limewagusa wameamua kunena kwa lugha!... Lol
   
 20. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hahahahahahhahahah
   
Loading...