Hahahah nimeona hii mahali nimeipenda wewe uko wapi??

Karina

Member
Jun 17, 2011
51
16
[h=6]tukifananisha makampuni ya cmu na mademu,airtel ni sista du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo,vodacom mchumba wa kuoa kabisa,zantel jimama la kulea vitoto,ttcl kibibi kinacho lazimisha ujana,tigo changudoa asiyejali maslahi na asiye na bei.JE WEWE NI KAMPUNI GANI?[/h]
 
Ya zamani hii Karina,au ndo umeiona?Ila sikuipenda kwani wamefananishwa dada yetu wakati wapo wanaume wajinga pia,sijui wanaitwaje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom