Hivi ni wanawake tu wanaothamini uhusiano kuliko wanaume?

fikirini

Senior Member
May 24, 2011
114
22
Wana Jf, imenitokea mara kadhaa na nimekuwa nikijionea pia kwa rafiki zangu wa karibu....mwanaume ukishaanzisha tu uhusiano na mwanamke, basi mwanamke ndo anakuwa wa kwanza kutoa masharti mara oooh mimi nina wivu ole wako nikukute na mtu mwingine, oooh muda wowote nitakupigia simu na ole wako usipokee, mara oooh uko wapi, upo na nani, unafanya nini, mbona hujaniaga? yote haya ni masharti tu...........jamani kwangu mimi ni kero, hii inamaanisha wanaume hatujui mahusiano yaweje? au wanawake wa aina hii ndo wanafanya hivyo ili kujilinda na tabia zao mbaya za kutotulia na mtu mmoja? nawasilisha
 
We nawe...kisa umekutana na watu wasiokuamini na wasiojiamini basi ishakua BRAND kwa wanawake wote!!!
 
Heading ya post yako its very true.
Mwanamke akipenda kapenda ila wanaume ndio mmesababisha wanawake siku hizi wamekua c waaminifu,wamechoka kuwa majalala.Ila kama umependa kweli and u ril wanna hiyo relatioship,unaona kero gani kujibu maswali ya umpendae aridhike?
 
Wana Jf, imenitokea mara kadhaa na nimekuwa nikijionea pia kwa rafiki zangu wa karibu....mwanaume ukishaanzisha tu uhusiano na mwanamke, basi mwanamke ndo anakuwa wa kwanza kutoa masharti mara oooh mimi nina wivu ole wako nikukute na mtu mwingine, oooh muda wowote nitakupigia simu na ole wako usipokee, mara oooh uko wapi, upo na nani, unafanya nini, mbona hujaniaga? yote haya ni masharti tu...........jamani kwangu mimi ni kero, hii inamaanisha wanaume hatujui mahusiano yaweje? au wanawake wa aina hii ndo wanafanya hivyo ili kujilinda na tabia zao mbaya za kutotulia na mtu mmoja? nawasilisha

Si kwamba wanawake ndo wanajari mahusiano, hufanya hivyo (hutoa angalizo) kwa sababu mara nyingi wao ndo huchokozwa. Hivyo akishapenda anajenga hisia za kwamba mbinu ulotumia kumpata utaitumia kum-aproach mwingine. Kwa kuhofia hilo ndo mwanzo wa maneno mara mi nina wivu, mara nakupenda sana etc.
 
Back
Top Bottom