Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Average, mtu anakuwa amepitia relationships ngapi mpaka kufikia kuoa au kuolewa?
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Wana JF nauliza ipi ni bora., kuuza nyumba na kutumia pesa na kimada au kumjengea nyumba kimada..?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta mrembooo mwenye umri kuanzia miaka 24-26 awe mpenzi wangu.....bt awe tayari kuwa nami kwa upendo kabisa awe na kazi yake.....awe tayar kupima.......
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kwa nini pale uhusiano unapovunjika hawa wenzetu hukimbilia kutoa kauli hii: "............kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...".
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Heshima kwenu Great thinkers ndani ya Kapeti!! Ni suala ambalo kiukweli linanichanganya sana, lakini nahisi kwa kuweka mikono na akili zetu pamoja naweza kuwa na UAMUZI SAHIHI WA KUCHUKUA...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Katika tafiti ndogo nilizofanya maeneo ya Ubungo maeneo ambayo kuna vituo vya tuisheni, kipindi cha likizo ya mwezi wa sita, nimegundua kwanza kuna vibanda vingi sana vya chips maeneo hayo, pili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi! Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili! Nina GF wangu yuko Arusha me nko Mwanza, huyo binti 2likuwa 2naelewana sana na ofcourse alikuwa anaonyesha kunipenda na pia...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kipo chama chenu kitaanzishwa muda sio mrefu,kwa maelezo zaidi wasiliana na Gerald Hando au Paul James wa Clauds Fm,au sikiliza Power breaks fast,mtaweza kupeleka malalamiko yenu kisha kufanyiwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi wana Jf! Nina jambo linanitatiza jamani, vijana wa sikuizi wamekuwa na tabia kutaka vitu ambavyo tiyari vimesha garamikiwa na wenzao, naomba nitoe mfano mmoja uliyo hai, kijana mmoja alimpata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna tabia imezuka sikuhizi na kadiri muda unavyoenda inajipatia umaarufu kwa baadhi ya vijana wa kiume,tabia yenyewe ni wanaume kuvaa nguo zinazobana na kushika kisawasawa maungo yao hasa ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadada naomba mnisaidie, mnapokuwa kwenye uchumba ni kutoa unyumba kwa wenzi wenu ni rahisi sana tena bila masharti sasa kwa nini mkiolewa inakuwa ngumu sana kutoa unyumba na kuja na sababu kibao...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa mtaani kwetu Jana tumeachwa hoi kwa kituko dogo mmoja wa std 3 alichofanya. Kuna mama mmoja afahamikae kwa Jina La Mama Pamella, huyu mama amekuwa akimtania dogo anampenda na kumwita dogo mme...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimekuwa mfuatiliaji kwa muda mrefu kuhusu katabia ambako kanakonyweshwa na akina dada ,wanawake wengi ambao hawapendi kuchangia gharama za matumizi.mkiamua kutumia ,kutanua,kujifurahisha...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Ni mshikaji wa muda mrefu!Tulifahamiana Tabora School(Boys) miaka iyooo.Tulipendana sana sbb 2likuwa tukiishi room moja,hata baada ya kumaliza tuliendelea na Elimu ya juu tena kwa Mafanikio...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa...
2 Reactions
80 Replies
6K Views
Jamani wewe martha mwaipaja sijui umenipa nini mimi, nakupenda kweli wewe dada
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Here are the 5 steps to a perfect relationship 1. It is important to find a woman who cleans up, who cooks from time to time, and has a job. 2. It is important to find a woman who can make you...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muhali gani wana JF? Hope you are all fine! Nimekuwa nikitatizwa na suala moja jamani. Si mnajua kuwa ratio ya women to men ni zaidi ya moja, na imeamrishwa kuwa ni wajibu watu kuoana wakati...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Kama ilivyo kawaida kwa kijana awaye yote kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa ajili ya ku-make family! Ni takribani miaka miwili iliyopita nilijaribu kuwa karibu na binti mrembo ili niweze...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom