Jamani, ipi bora: Kuoa mke zaidi ya mmoja ama kuwa na mke mmoja na nyumba ndogo kibao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani, ipi bora: Kuoa mke zaidi ya mmoja ama kuwa na mke mmoja na nyumba ndogo kibao!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chris_Mambo, Jul 18, 2011.

 1. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Muhali gani wana JF? Hope you are all fine! Nimekuwa nikitatizwa na suala moja jamani. Si mnajua kuwa ratio ya women to men ni zaidi ya moja, na imeamrishwa kuwa ni wajibu watu kuoana wakati ukifika ili kumpendeza Mungu? Sasa sasa kama inavyoelezwa kwenye kitabu kimoja wapo kuwa one man, one moman forever. Where will other women go?
  Pia kuna tetesi kuwa watu wenye ndoa moja hawaishi kuwa na nyumba ndogo. Je kuna umuhimu wa kubadili utaratibu ili ndoa ya wake wengi iwe ruksa kama inavyoelezwa kwenye kitabu kimojawapo cha dini? Je kuna maana gana kama mtu anajiheshimu lakini bado ana nyumba ndogo pembeni? Kwa nini asihalalishe tu ili hata kama atapata watoto nje ya ndoa yake watambulike na wawe na haki sawa na wale wa nje ya ndoa?
   
 2. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Better is to have a one wife and being faithful. hao wengine waliobakia wawe ma sister and nun.
  And how about a woman to have a 2 men?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mzinzi mzinzi aoe mke mmoja au mia moja haimbadilishi, wangapi wana mke mmoja ila nyumba ndogo kibao, na wapo kibao wana wake zaidi ya mmoja na bado wana nyumba ndogo chungu nzima na nyumba ndogo chache kati ya hizo "zinabahatika " kuolewa zikipanda daraja zinaongezwa nyingine!!!

  hapa tatizo ni tabia.....
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Kwanza sio lazima kuoa/kuolewa,pili tabia mbaya dawa yake sio kuoa wake wengi,mmoja tu anatosha kwa anaejua thamani ya mke!Kama wewe unawaona wanawake kama kitu cha kutumia hata ukipewa dunia utahamia kwa wanyama!
   
 5. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vipi ratio ikipinduka wakawa wanaume ni wengi kuliko wanawake mkuu?
   
 6. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu tafuta ratio ya Botswana halafu utupe suluhisho lake. Au ratio ya nchi za Scandnavia kuanzia baada ya WW ll na utuambie kama walisolve kwa kuwa na nyumba ndogo, kwa kuoa wake wengi, au walifanyaje?! Hivi wanaume wanakuwa na nyumba ndogo kwa sababu wanawake ni wengi au ni kwa sababu ya tamaa??! Na vipi wale wanaozini na wake za watu? Au na wake za watu pia wamezidi????
   
 7. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  First you should know why are we marring? We dont marry to help them, or did you do that to your wife? hope not, dont care about ratio, are you the one who made them?. Do you believe in the other book which say to marry many? follow it or do you believe in the other book say not? do it.
  Do you believe to your grand pa who has 7 wives? follow him. Do you believe to Paul in bible who have non? follow him, Do you believe to your pa who has "vimadas", do it like him.
   
 8. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Tena hao wenye wake wengi wanawaingia wasichana kwa gia ya "utakuwa mke wangu wa nne"; Hivi unataka kutufanya tuamini wenye vimada ni wale wenye mke mmoja tu?? Hiyo ni tabia ndugu ndiyo maana kuna vijana dini zinawaruhusu na bado wana mke mmoja kwani mke kwao ni penzi si msaada.
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ahaa yote yanafanana sasa unataka tuchague nini hapo?
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mbona yote sawa mkuu? Ila wake wengi its beta.. Itasaidia kuepuka watoto wa mitaani!
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Gagu hakuna siku uliotoa point kama Leo Daahhh hongera sana ...
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Uzuri wa nyumba ndogo unabadili muda wowote na kifaa kingine,ubaya wake tukisema kweli wanatumia 60 parcent ya bajeti huku mke halali akiambulia makombo, inasikitisha lakini ni ukweli wenyewe.
   
 13. n

  nasri athumani Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haahaaa kaka bonge lamada....imeluhusiwa kuoa wake wengi kwa m2 mwenye uwezo,ukiachia pesa uwezo uliozungumziwa ni ule wa ku SEX,kuna wanaumewengine wananguvu nyingi kiasi kwamba mke m1 hamtoshelezi, MFANO juzi kunamwanamke alienda mkwa mtendaji kudai kua anataka mme wakd amuache kwan jamaa akianza kulima mpaka yule mke wake huwa anatapika zaid ya malg 2 ktk tend 1 naakimaliza lazima ajikande)kuna wanaume wengine hawna nguvu za kutosha kimoja hoi!... Huwezi kmwambia aoezaidi ya wa2,....wana JF mmeona tofauti?
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280

  na mwanamke mwenye nguvu nyingi awe na mwanaume mwenza? maana hatokuwa anatoshelezwa
   
 15. s

  samko Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndia maana mwanamke anauhuru wa kudai kuachwa ikiwa mwanamme hamtoshelezi
   
 16. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  hv mtu anayekuwa na wake 4 au nyumba ndogo nyingi' akienda nje ya nchi au mkoa anaoushi hata kwa mwez mmoja anaweza kuvumilia kweli si atachukua hata baamed?nafiri haya mambo ni tabia ya m2 tu mambo ni tabiatu
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kuwa na nyumba ndogo ndo vizuri, hii itamfanya mke wako awe na daily fixed timetable ya game, lakini pia ni vizuri mke wako awe na taarifa ili na yeye atafute kidumu.
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Sawa kabisa.

   
 19. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  nenda jukwaa la utambulisho.
   
 20. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hakuna kilicho bora... Maana mwenye wake wengi alianza na nyumba ndogo... Hivyo ata akiwa na wake wengi, ataendelea kuwa na nyumba ndogo alimradi anaruhusiwa kuongeza wake kwa kiasi atakacho. Mwenye nyumba ndogo na mwenye wake wengi ni mtu mmoja aliye katika hatua tofauti.
   
Loading...