Wanaume kama mabinti

mtoto wa mfugaj

Senior Member
Jul 18, 2011
136
29
Kuna tabia imezuka sikuhizi na kadiri muda unavyoenda inajipatia umaarufu kwa baadhi ya vijana wa kiume,tabia yenyewe ni wanaume kuvaa nguo zinazobana na kushika kisawasawa maungo yao hasa ni suruali aina ya model,kama hiyo haitoshi suruali hushushwa chini hivyo kuacha boxer ikionekana,on top of that juu wanavaa tshirt fupi ambayo kila baada ya mda anakua anaipandisha pandisha.hizi ni pozi za kike kabisa,mambo ya kuvaa skin jeans,kuonyesha chupi na kuvaa tshirt fupi na kuanza kuzipandisha pandisha haifai,kama dhumuni la watu wa aina hiyo ni kuvutia mabinti jueni hiyo mbinu imefeli maana baada ya kuwavutia mnajidhalilisha na mnawakera.kijana unatakiwa uwe msafi na mwenye kujali hivyo ndivyo utawavutia hao warembo.nimemaliza.pamoja tunajenga nchi.
 
haaaah haah mkuu umenena kuna ma men wanapaka lipshine na makeup kabisa, hii nn sasa kama c ushoga!
 
kwani kuna ubaya gani? just freedom to live as one wishes, usiuingilie uamuzi wa mtu bwana.
 
Kuna tabia imezuka sikuhizi na kadiri muda unavyoenda inajipatia umaarufu kwa baadhi ya vijana wa kiume,tabia yenyewe ni wanaume kuvaa nguo zinazobana na kushika kisawasawa maungo yao hasa ni suruali aina ya model,kama hiyo haitoshi suruali hushushwa chini hivyo kuacha boxer ikionekana,on top of that juu wanavaa tshirt fupi ambayo kila baada ya mda anakua anaipandisha pandisha.hizi ni pozi za kike kabisa,mambo ya kuvaa skin jeans,kuonyesha chupi na kuvaa tshirt fupi na kuanza kuzipandisha pandisha haifai,kama dhumuni la watu wa aina hiyo ni kuvutia mabinti jueni hiyo mbinu imefeli maana baada ya kuwavutia mnajidhalilisha na mnawakera.kijana unatakiwa uwe msafi na mwenye kujali hivyo ndivyo utawavutia hao warembo.nimemaliza.pamoja tunajenga nchi.

unachosema ni kweli ila hapo kwenye bluu sijapapenda
 
Maisha ya mtu wewe....yako mbona hawayasemi? Nyani haoni kundule...kikukeracho wewe nini? Focus on your life men.......
 
Kweli kabisa sometimes pozi zingine wanaume haziwafai mnakuwa kama mabinti..
 
marekekisho kuhusu"kila baada ya mda anakua anaipandisha pandisha" i meant to say.KILA BAADA YA MDA ANAKUA ANAISHUSHA SHUSHA.
 
yani we acha tu sijui wakoje
wadad wavae eti na mwanaume kapaka rangi kucha
upwiiiiii inaboa kweli kila sasa kulamba lamba midomo tu
 
Mwanaume wa ukweli hawezi kudhubutu kuonyesha watu vikalio vyake. Ni ulimbukeni tu na kujidanganya kujua sana... Unapopita mbele za wanaume wenzako vikalio na kyupi nje nje unamaanisha nini? Wakutamani au?
Kwa mtoa mada: Kama imani za dini ni za kweli, utagundua kuwa kila kabla ya Mungu kushusha hukumu watu wa dini wanasema 'lazima tabia za kike zitawale' kazi kwako.
 
Hili ni tatizo kwenye jamii zetu,huu ni utumwa wa kiakili,wale wenye tabia hizi nawapa dedication wimbo huu wa Lucky Dube,unaitwa 'Other side'
 
Mwanaume wa ukweli hawezi kudhubutu kuonyesha watu vikalio vyake. Ni ulimbukeni tu na kujidanganya kujua sana... Unapopita mbele za wanaume wenzako vikalio na kyupi nje nje unamaanisha nini? Wakutamani au?Kwa mtoa mada: Kama imani za dini ni za kweli, utagundua kuwa kila kabla ya Mungu kushusha hukumu watu wa dini wanasema 'lazima tabia za kike zitawale' kazi kwako.
Vikalio vyenyewe sasa! Kama scones vile.
 
Kuna tabia imezuka sikuhizi na kadiri muda unavyoenda inajipatia umaarufu kwa baadhi ya vijana wa kiume,tabia yenyewe ni wanaume kuvaa nguo zinazobana na kushika kisawasawa maungo yao hasa ni suruali aina ya model,kama hiyo haitoshi suruali hushushwa chini hivyo kuacha boxer ikionekana,on top of that juu wanavaa tshirt fupi ambayo kila baada ya mda anakua anaipandisha pandisha.hizi ni pozi za kike kabisa,mambo ya kuvaa skin jeans,kuonyesha chupi na kuvaa tshirt fupi na kuanza kuzipandisha pandisha haifai,kama dhumuni la watu wa aina hiyo ni kuvutia mabinti jueni hiyo mbinu imefeli maana baada ya kuwavutia mnajidhalilisha na mnawakera.kijana unatakiwa uwe msafi na mwenye kujali hivyo ndivyo utawavutia hao warembo.nimemaliza.pamoja tunajenga nchi.
hebu ututake radhi wanawake/mabinti humu ndani yaani tabia hizo chafuchafu ndio unaziita pozi za kike!
 
Back
Top Bottom