Ipi Bora..?

mndumsolo

Member
Feb 11, 2011
51
8
Wana JF nauliza ipi ni bora., kuuza nyumba na kutumia pesa na kimada au kumjengea nyumba kimada..?
 
Vema kumjengea nyumba,maana unaweza kutoa katika vyanzo vingine kuliko kuuza nyumba ambayo inaweza kuwa na manufaa kwa wengine.
 
Zote upupu tuu, imagine hizo hela ungeinvest na mkeo mgefanya jambo la maana. Ndo maana watu mishahara mikubwa lakini hawana kitu.
 
afadhali mle hela, ukimjengea nyumba siku akichoka anakutoa baru, then anaamua kumvuta anaempenda. We utakuwa ume expire.
 
Back
Top Bottom