Alibakwa na babaake!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alibakwa na babaake!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by First Born, Jul 14, 2011.

 1. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Heshima kwenu Great thinkers ndani ya Kapeti!!


  Ni suala ambalo kiukweli linanichanganya sana, lakini nahisi kwa kuweka mikono na akili zetu pamoja naweza kuwa na UAMUZI SAHIHI WA KUCHUKUA.


  Miaka kama minne iliyopita nilikutana na binti ambaye kiukweli nilitokea kumpenda kutokana na uzuri na heshima pamoja na utulivu wake, nilimwelezea hisia zangu lakini alizipokea kwa kuhisi kuwa nisingempenda endapo angepata muda na kuniambia hali aliyokuwa nayo. Nilimtoa wasiwasi na kumwambia kuwa ningekuwa tayari kwa lolote.


  Yule binti aliniambia kuwa yeye alikuwa na mtoto(tayari kashazalishwa ingawa hakuwa pamoja na huyo boyfriend wake), akaniambia kama ningekuwa tayari kumpenda yeye na mtoto wake basi angekuwa tayari kuwa na mimi


  Nilikuwa tayari na tukaanza mahusiano, lakin siku zilivokwenda yule binti alionekana kama hakuwa na amani, nikamuuliza na kumwomba kuwa huru kabisa,

  Huyu binti kwanza kabisa alinitaka radhi, na kunieleza wazi kila kitu mwanzo mwisho, kwamba Mama yake aliwahi kukorofishana na baba yake wakatalakiana ndipo mama alivoamua kumchukua kijana wa makamo kama mumewe.
  (kipindi hicho yy akiwa mdogo mwnfnz wa kidato cha kwanza)

  Siku mmoja mama akiwa safarini yule babaake mdogo alimbaka lakini yeye alimficha mama, miezi michache baadae akajishtkia kuwa ana ujauzito. Hapo ndipo alipoacha shule kwani hata alivomwambia mama hakuamini kwa kudhani kuwa alikuwa anamsingizia mumewe. Alimzaa mtoto wa kike aliefanana copy right na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo babake, nilipata mshituko alivoniambia kuwa mi ndo nikuwa boyfriend wake wa kwanza kabisa ila baba mdogo wake ndie chanzo cha kila kitu.


  Sasa wakubwa nifanyeje??

  1. Niwe na mtu ambae amezaa na babaake?

  2. Nimwache ilhali nilimuahi kuwa tayari kwa taarifa zozote?

  Inaniuma kweli, naombeni ushauri

  wenu Mzaliwa wa Kwanza.

  .
  .
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  usimuache, kama kweli unampenda utakuwa naye milimani na kwenye tambarare.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  You made a promise to her, itakuwa sio uungwana baada ya yeye kukueleza hali halisi umuache wakati tayari uliishamwambia uko tayari kwa lolote, keep your promise hauwezi kujua wewe kuendelea kuwa nae inaweza kuwa njia moja ya yeye kusahau matatizo yaliyompata maana ukisema umuache utakuwa unamkaribishia matatizo mengine pia, jambo la msingi ni kuwa nae karibu kipindi hiki kumshauri, kumfariji na kumwambia pamoja na yote yaliyotokea Mungu bado anampenda no matter what life has to go on.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  pole sana..nakushauri usimuache kabisa..kama humtaki bora unipigie pande(joke) kwa vile binti ashakuwa muwazi mbele yako ukimuacha litakuwa ni pigo moja kubwa sana kwake.kaa chini utulie umepata mke..mwanamke mwenye uwezo wa kukuhadithia kitu kama hicho bila kuficha ujue kuwa huyo ni mkweli na hatokuja kukudanganya kijinga maishani.
   
 5. W

  WONDERWOMAN Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sasa kaka kwani yeye ana kosa gani mpaka umuache? Na kama ana tabia nzuri na unampenda na umeshakuwa nae kw muda na ku do nae pengine ,ukimuacha kwa kuhukumu historia yake ya kusikitisha ambayo ilimtia maumivu ya roho na mwili pia na sononi juu huoni kuwa utamuongezea jeraha kubwa na wewe ulimuahidi kumfariji na kuwa nae
  Mimi nafikiri uyapime hayo kama yana ukweli nayi mnapendana huna sababu ya kumuacha maana kosa ni la mbakaji si la aliebakwa ila tu angalizo ,huyo mbakaji bado anaishi na mamake? kama ndio hapo napata kigugumizi maana kama ingekuwa mimi (mungu aepushie mbali) nisingependa kuonana tene na mtu huyo kwani naona nisingejizuia kulipisa kisasi maana ni jambo la kuumiza mno na kama ningeweza kuhama na kutofika tena hapo nyumbani ingekuwa bora .LAKINI JE MAMANGU ITAKUWAJE KWANI mawasiliano nae ni muhimu ingawa hakuamini na kama nina pesa tungepima DNA ya mtoto ili mama aamini na kujua kuwa huyo mumewe ni wakala wa shetani na hapo angeweza fanya maamuzi mengine with evidence at hand
  Dunia inasikitisha
  Ningekuwa mama wa huyo bint ningefuatilia kuon kama mtoto ni wa husband na kama ni kweli pangechimibika

  Usiseme kwamba huyo bint kazaa na babake ila katiwa miba na babake kwa kubakwa!!!!!
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  ulimpromise kwa lolote lille na lolote lenyewe ndio hilo...........amekuwa wazi kwako sababu ndio kimbilio lake......ukimwacha ataona hata wewe aliyekuamini na kueleza matatizo yake umemkimbia anaweza kufikiria kufanya kitu kibaya na kuona hastaili kuwa katika jamii...........kumbuka kitendo alichofanyiwa na babake huyo ni chakinyama............uwe msaada kwake wa kumwondela machungu/huzuni aliyonayo
   
 7. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kama wewe unampenda na yeye anakupenda ..hiyo sio issue kabisaaa.. Tena huyo kama unamwonyesha kumwamini na kutotilia maanani yaliyopita.. mtafika mbali sana...

  Kikubwa..na kikubwa sana.. Jaribu kufikiri kama unaweza kumpenda huyo mtoto..kama wa kwako..kwani upende au usipende ana sehemu yake kwenye maisha yenu.... Ningekuwa mimi nisingejali nani kamzalisha ningeshahesabu nina mtoto mmoja (kwa moyo mmoja na mapenzi yote)..na kuendelea kutafuta wa pili..
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Anakuhitaji wewe..
  Anahitaji msaada wako..
  Muhimu zaidi anataka upendo wako..

  Swali linakuja hapa wewe uko tayari..?
  Ni kitu kizito sana kubeba mwenyewe..
  Ni muhimu kwa wewe kupata msaada pia.
  Labda kwa wazazi au msaa wa nje Cancelling

  Yaelekea ni mzigo aliubeba kwa muda ..
  Amekuamini wewe muhimu sana kwenye
  Relationship (TRUST) mkivuka hili mtafika
  Mbali..

  Take care
  AD..
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Ukimuacha utakuwa umefanya kosa kubwa,yeye kuzaa na baba yake haina maana kuwa amepoteza sifa ya kuwa mke mwema,bado anafaa na uwezekano wa kuwa mke mwema ni mkubwa,furahia maisha na mpenzi wako,tafsiri halisi ya upendo ni kumkubali mtu kama alivyo na matendo yake(yale yasiyoumiza)
   
 10. S

  Siimay Member

  #10
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usimwache na timiza ahadi yake kwako kaka!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  umuache ili iweje???????
  hebu kuwa mature hapo
   
 12. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Huna haja ya kumuacha, hakuzaa na baba yake mzazi, huyo ni bazazi tu bwana ake mamake wala sio mumewe, ingekuwa ni baba yake mzazi ingekuwa ni ishu nyingine, wewe chukulia tu ni kama msichana umekutana naye kazaa na jamaa tu. not her biological father.
  kwanza hongera ni vigumu sana kukutana na mwanamke akawa muwazi kwako. you should believe her. give her love.

  You should consider the following:

  1. According your information the lady need true relation because on what she has passed on.
  2. She never trust a man before, you are his dream man, you should show the truth too.
  3. If you think this relation will not take you anywhere, its just admire and not a love, you should stop just now before you hurt her.
  4. Do not take her, marry her.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hakuna haja ya kumuacha kwa sababu kawa muwazi kwako, pia endapo utamuacha huenda ukamsababishia matatizo makubwa kwani kakuamini sana na ndio maana hajakuficha kitu kuhusiana na maisha yake ya nyuma...
   
 14. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Asante sana
   
 15. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ubarikiwe sana.
   
 16. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  asante.
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Asante St Ivuga.
   
 18. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Be blessed Afrodenzi.
   
 19. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Asante.
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ameshakufungulia moyo wake kukueleza jambo alilolificha kwa muda mrefu sana. Usijaribu kumuacha maana maumivu atakayopata kwa sasa ni makubwa kuliko yale ya mwanzoni. Kaa nae na mwambie yote hayo yalikuwa mapito na uko tayari kuwa nae kwa yote
   
Loading...