Nahitaji ushauri wenu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji ushauri wenu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jilanga, Jul 20, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama ilivyo kawaida kwa kijana awaye yote kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa ajili ya ku-make family! Ni takribani miaka miwili iliyopita nilijaribu kuwa karibu na binti mrembo ili niweze kumfahamu zaidi tabia na mwenendo kwa ujumla, kabla sijamtamkia/kumwomba rasmi uchumba, Hata hivyo ilikuwa mapema mno kwa she was at O'level kwa maana kwamba kahitimu form iv last year! Baada ya kuhitimu matokeo yake hayakuwa mazuri! Kutoka na urembo na maadili alokuwa nayo alivuta wanaume wengi na hivyo nilipata taarifa kuwa anamchumba na anamtafutia center ya kuresit paper ikiwa ni pamoja na gharama za mitihani! Na kikubwa zaidi ameshamtambulisha home kwao!

  Cha ajab binti amekuwa akinitafuta mara kwa mara akinitaka 2we wachumba! Nikimuliza juu ya mchumbake ananiambi alijikuta amefanya maamuzi potovu kutoka na stree za paper kwan baada ya kutulia alitokea kumtoa moyo kadri siku zinavyozidi kwenda kutoka na kupata skendo kibao za msela na kanihakikishia kuwa wana muda hawana mawasiliano, na kuwa anahisi yeye ni moja ya mbavu zangu! Ki ukweli mi nampenda sana!

  Je wanajamvin as critical thinkers, I'm waitin 2hear from u, what should I do?
   
 2. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kicheche hicho. Lkn kuwa makini kama aliweza mtosa huyo anayemhudumia kila ki2 hata ww atakutosa. Inshort yaliyomkuta jamake wa mwanzo na ww yatakukuta.
   
 3. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks Dullah 4 ur contribution! I'll work on it!
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Inatakiwa umtizame kwa karibu lakn nenda nae mkapime afya ili uchumba wenu uwe na amani,lakn mkuu muhimize asome zaidi
   
 5. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu, thank u 4 ur brilliant advice!
   
 6. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unajua ni ngumu kujua ukweli wake. coz hawa wa2 unakuta anakuja kwako kumbe katibuana na mchizi au yaweza kuwa kazimia mkwanja sio cc2 ndio 2napenda hata wao wana2tamani kwa njia 1 au nyengine. kuwa makini nae na kama m2ndu na wa2 hawa jaribu kumpa vimitihani vya apana pale kumpima ukweli wake. afya muhimu ndugu. nakutakia safari njema ya malavidav
   
 7. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante sana Mkuu! Lakini ungenipa hints juu ya hivyo vimitihani vya hapa na pale!
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mahusiano yoyote, yana ups and downs, ndo maana tunatakiwa kumshirikisha sana Mungu mambo haya. Amani iamue moyoni mwako, yawezekana kweli ni majaribu tu yalivamia uhusiano wenu, so ukitulia utajua ukweli ni upi na maisha yataendelea.
   
 9. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  LD, Ahsante kwa ushauri wenye busara! Lakini pia nahitaji maombi yako juu ya hii!
   
 10. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....kamaliza form 4 last year, mbona bado mdogo kuwaza mambo ya uchumba. Nadhani labda ndio kwanza ana 18 years old........kama unampenda mwambie akazane kusoma mapenzi baadaye.
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Karibu jilanga Mungu amesikia maombi yako.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red, mwangalie kwa undni huyo mtoto, mwenyewe unakiri kwamba ni ajabu
   
 13. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  aaameeennn!
   
 14. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pretty ni kweli she is about 18 but the problem anasumbuliwa kiasi cha kukosa msimamo! Istoshe kwao sio mambo safi kivile! Lakini kumbuka Marriage ina step like Dating, Engagement then marriage it cost almost 3yrs! So she 'll be 21yrs! Au unasemaje!
   
 15. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pretty ni kweli she is about 18yrs but the problem anasumbuliwa na wanaume kiasi cha kukosa msimamo! Istoshe kwao sio mambo safi kivile! Lakini kumbuka Marriage ina steps like Dating, Engagement then marriage which costs almost 3yrs! So she 'll be 21yrs! Au unasemaje!
   
 16. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Demu bado mdogo, na kwa kizazi cha sasa kwa umri huo hawezi kukuambia jambo la kueleweka yaan mtapotezeana muda tu.. watoto wa siku hz mambo mengi. kama muoaji kweli nenda kijijini katafute mchumba..acha mbwembwe
   
 17. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [aQUOTE=pumbatupu;2254671]Demu bado mdogo, na kwa kizazi cha sasa kwa umri huo hawezi kukuambia jambo la kueleweka yaan mtapotezeana muda tu.. watoto wa siku hz mambo mengi. kama muoaji kweli nenda kijijini katafute mchumba..acha mbwembwe[/QUOTE] Asante sana Mkuu! Kijijini nagopa yalimkuta Prof J kipindi kileee "Nikusaidieje"?
   
 18. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Actually mi nahisi tusimchukulie sana huyo binti kicheche, koz kwa maelezo yako anadai kama alifanya maamuzi bila kushirikisha sana ubongo ukizingatia maumivu na stress. Kusumbuliwa kwa demu mkali ni kawaida na ushukuru demu wako anafuatwa, ikitokea ana msimamo na amekupa moyo wake 100% una bahati. Fanya utafiti.
   
 19. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umenena vyema mkuu! Japo sijawa karibu naye takribani 4months but I hope she is not prst as such! Let take an ample time 4 further investigation!
   
 20. charger

  charger JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Huyo kweli mkali yupo kwenye mtihani yet anafanya maamuzi ya mapenzi kama sjaelewa vile
   
Loading...