Hivi kwanini chips kuku bado ni tatizo kwa dada zetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini chips kuku bado ni tatizo kwa dada zetu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by batromayo, Jul 21, 2011.

 1. b

  batromayo Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika tafiti ndogo nilizofanya maeneo ya Ubungo maeneo ambayo kuna vituo vya tuisheni, kipindi cha likizo ya mwezi wa sita, nimegundua kwanza kuna vibanda vingi sana vya chips maeneo hayo, pili wanaume(mafataki) hawachezi mbali na wanawarubuni wanafunzi hasa waliotoka mikoani kwa kuwanunulia chipsi hafu wanawatumia baadhi ya wanafunzi wa kiume hasa wa hapa Ubungo kuwapata wasichana hao kimapenzi. Wana JF hivi hatuwezi pata suruhisho ya tatizo hili ili tuwaokoe dada zetu?
   
 2. K

  Kiwete JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Ubungo sehemu gani na shule z/ipi
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mh hapo kuna maada 2 kubwa hebu zitenganishe basi ndo tuchangie
   
 4. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kumbe bado kuna watu wapo kwenye ulimwengu wa chips kuku,sie wengine tunajibebea mzigo kwa movie ya Kanumba tu.
   
 5. m

  muhanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sasa mabinti unaowazungumzia ndio wanaopenda chips na kuku, ukitafuta suluhisho ina maana uwabadilishie menu wasipoipenda je? wao kama wanaona chipskuku inalipa kwa mapenzi wanayofanya basi acheni waendelee tu. ni utoto tu wakikua wataacha
   
 6. M

  Mpemba asilia Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu chips kuku ndo chakula cha dada zetu these days kwn wanasema wanamantain figure zao,sasa ukiwapa Ugari maharage hawataki.sasa tutawaokoa vp kwa kuwanyima wanachokipenda?ngumu hiyo.
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  the the the the hehehe hii kali nitaiaply leo nshanunua movie hp nakatiza katiza ndo wametoka class
   
Loading...