Natafuta mchumba mwenye zifa zifuatazo....Awe na Elimu kuanzia 4m four,awe na kazi ya kuweza kutulisha wote wawili na watoto hapo baadae,awe ni mwanamke hiyo tisa kumi awe mwaminifu na...
habari zenu wana-jamvi!
Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
Mwananchi Jpili 17 Julai 2011. Mwanamke mwenye saloon ya kike na ambaye ni mkali wa judo ambaka mwanaume kwa siku tatu mfufulizo katikia chumba chake. Kwanza alimpiga judo mpaka huyo mwanaume...
Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba
Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake
usiwe mpweke
usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi...
Can 'friends with benefits' work?
First posted: Thursday, July 21, 2011 2:00:00 EDT AM
What happens to the friendship when beers with a buddy turns into bedroom fun?
As yet another...
Jameni,
Am currently going through a tough time. I had no idea how women felt like wearing thongs every day of the week.
You see, I was caught red handed by my live-in girlfriend of one and a...
Baada ya kuwa mywaji wa BIA kwa takribani miongo minne huwa najiuliza ni kwanini mtu anakukuta baa - hujamwalika wala hajakualika mnasalimia anakaa meza yake na baada ya muda anakuagizia kinywaji...
Mambo jf, ninarafiki angu ana boyfrend wake ni mlemavu na wanapendana sana,(kwa maelezo yake lkn)na urafik wao una 2 years mpaka sshv,boy amempa mimba huyu myfrend na anataka achukue jumla ttzo...
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe...
Najua wengi wetu mmeshawahi kushuhudia au kuishi ndani ya single parenting ama maisha ya magomvi muda wote .namaanisha kuwa mzazi kati ya migongano ya kimahusiano .
Mimi (ex. st) RR nawashauri...
Wana Jf habari zenu, kwanza natanguliza shukrani kwa wote wanaoleta na kuchangia mijadala yenye tija kwani imekuwa ikinijenga kila siku. Wadau nilikuwa na "Penpal friend" wa kike, toka nikiwa...
1. Ni kutojiamini kwa wanaume au ni uzuzu na kushikiwa akili? 2. Ni kujihami kwa akina dada? 3. Hivi huwezi kumkataa mtu mpaka ugawe namba yake 4. Unajisikiaje kupigiwa simu na kukatazwa kupenda...
Ni miezi sasa imepita tangu nijivue gamba la mapenzi. Nimebaki mpweke ili kuepuka maumivu ya roho. Nilimdamp huyu mtu baada ya kugundua nilimpenda sana kiasi kwamba nisingeweza kuishi nae kwa raha...
Hivi kibongobongo wapenzi kupeana maua kama zawadi na anayepewa ua kuonyesha furaha to the maximum kwamba kairidhia hiyo zawadi kwa dhati huwa ni hisia za kweli toka moyoni au maigizo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.