Mawazo wanaJF

big galacha

Member
Jun 1, 2011
27
2
Habari zenu wanajamvi!
Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili!
Nina GF wangu yuko Arusha me nko Mwanza, huyo binti 2likuwa 2naelewana sana na ofcourse alikuwa anaonyesha kunipenda na pia kunijali lakin kulikuwa na tatizo kuwa mara nyingi nikimpigia nakuta simu iko busy na nilivomuuliza akaniambia ni baba yake ila baada ya kumbana vizuri akaniambia kuna jamaa anamsuanbua ila ye hamtaki me nikakubali japo kwa shngo upande lakin kuanzia hapo amekuwa hana tym na me yani hata kuwasiliana ni mpaka me nimtafute na nisipomtafuta hata wiki ndo hatuwasilian wiki tofauti na kabla ya kumuuliza ambapo alikuwa ananipigia co chin ya mara tano!
Je ni vibaya kumuuliza mtu ki2 ambacho una wasiwasi nacho?
Msaada pliz katika hali hii nifanyaje?
 
Sasa usichokielewa mpaka hapo ni nini,.......tatizo mmezoea kusubiri kuambiawa maneno au kufanyiwa mambo ya kuumizwa ndio muuachie ngazi....tafakari na uchukue hatua
 
ahaaaaaaaa, kumbe ni wewe ndio unasalandia demu wangu

naomba uache tafadhali, tena ameniambia unamkera sana, kwa heshima na taadhima naomba acha aisee
 
Huna haja ya kuchanganyikiwa,moja,ana mtu halafu anakuficha,pili,anakuonesha kabisa hakuhitaji,kama kuna mtu unampenda hauwezi ukakaa siku mbili bila kumjulia hali,achana nae huyo tafuta mwingine maisha yaendelee!
 
Huyo msichana hana haja na ww tena usiusumbue moyo wako,jipe mda wamapumziko kidogo utafakari kutafuta mwengine ww ukiwa kama mwanamme nilazima uwena moyo shujaa wakukubali matokeo. warembo wapo wengi na wenye tabia nzuri kuliko yeye.
 
Hujasema lakini kama mlikuwa kwenye mahusiano,wazo la haraka haraka ulikuwa plan B
 
We check tu ustaarabu mwingine,usipoteze mda wako maana nina ka'experience kidogo katika hilo,madem ni waongo sana ndugu yangu!wa kwangu ilikuwa hivo ukimtrace number busy for 1hr or 2hrs,ukimhoji utasikia nlikuwa naongea na mdogo wangu!mwisho wa siko anagongwa na menager wa camp ya kitalii,kashamnunulia mambo mengi na walikuwa kwenye mipango ya kuoana!mwishowe kaolewa km mke wa 4!mademu na pesa ndugu yangu!soma alama za nyakati
 
Achana naye haraka sana,mie yameshanikuta na nimemwaga,hawa madem walio wengi ni kama kunguru hawafugiki kabisa. Si afadhali yake kawa mke wa 4! Wa kwangu ni bonge la toto mtu wangu kitu kama Beyonce lakini nimemmwaga mwaaa na jamaa aliyemdanganya naye kamwaga mwaaa!
 
Yako tamu,kamwaga naye kamwagwa!hawa watu siyo kabisa!!nataman kuwalaani
 
Pole mkuu..communication is key to any relationship! Kama hamuwasiliani basi hamna mahusiano! full stop...
 
Umbali nao unachangia haya mambo jamani, heri jirani aliye karibu kuliko mzazi/ndugu aliye mbali. Huyo binti sio malaika ni binadamu na anaweza kupata majaribu pia ktk mahusiano, kama kweli unampenda umechukua hatua gani kuhakikisha unamsaidia asiangukie majaribuni, hasa ukijua hampo karibu? Fanya juhudi kumshauri na kuhimiza upendo wako kwake. Akikataa basi atakukumbuka huko mbele ya safari. Ni kweli warembo wako wengi lkn A si sawa na B. Kilinde na kukipiginia kile ulicho nacho hadi pale utakaposhindwa
 
Nionavyo Mkuu umekuja jamvini kwa sababu bado unampenda huyo msichana, vyenginevyo ungelitimka visigino kisogoni.
Kwa kuwa unapenda, mara nyengine ni bora "kusubiri ushahidi kamili" kulikoni kuchukua maamuzi ya haraka haraka
ambayo tunakuja kuyajutia.

Nakubali kuwa mawasiliano ni msingi wa mahusiano yoyote, kwa hiyo iko haja ya kuzungumza na kuambiana ukweli.
Penginendio huyo binti ameshapata wake, pengine anacheza huku na huku, pengine unamsakama sanakwa wivu kiasi
hana uhuru ndio sababu anakukwepa. Tusiangalie kasoro za wenzetu na kuzifumbia macho kasoro zetu.

Ninachokushauri Mkuu zungumza naye akupe ukweli. Muulize kama yuko serious na uhusiano wenu. Mtake
akueleze ukweli bila kuficha. Unaweza pia "kutingisha kiberiti". Mchokonoe kutafuta ukweli bado ikiwa ni mapema kwa
kumwambia "ikiwa mambo ndio hivi bora yetu yaishe". Ikiwa lengo lake ni hilo atanasa tu, na utakuwa umempunguzia
mzigo wa kutamka lile ambalo yeye hana ubavu wa kulitamka.

Mwisho wa habari ni wewe mwenyewe unayejua unachokitaka. Kila la heri.
 
Sasa usichokielewa mpaka hapo ni nini,.......tatizo mmezoea kusubiri kuambiawa maneno au kufanyiwa mambo ya kuumizwa ndio muuachie ngazi....tafakari na uchukue hatua
Umenifurahisha hapo mwisho. atafakari na achukue hatua = haki elimu. hahahahaha. tatizo wabongo mpaka waambiwe "sikutaki nimepata bwana zaidi yako" ndio wanaridhika japo ataanza mie nyingi mara nilikuwa mara nili mfanyia. jamani twendeni na wakati mtu akikuonesha vitendo we sepa usisubiri matusi na kashfa.
 
Nionavyo Mkuu umekuja jamvini kwa sababu bado unampenda huyo msichana, vyenginevyo ungelitimka visigino kisogoni.Kwa kuwa unapenda, mara nyengine ni bora "kusubiri ushahidi kamili" kulikoni kuchukua maamuzi ya haraka haraka ambayo tunakuja kuyajutia.Nakubali kuwa mawasiliano ni msingi wa mahusiano yoyote, kwa hiyo iko haja ya kuzungumza na kuambiana ukweli. Penginendio huyo binti ameshapata wake, pengine anacheza huku na huku, pengine unamsakama sanakwa wivu kiasi hana uhuru ndio sababu anakukwepa. Tusiangalie kasoro za wenzetu na kuzifumbia macho kasoro zetu.Ninachokushauri Mkuu zungumza naye akupe ukweli. Muulize kama yuko serious na uhusiano wenu. Mtake akueleze ukweli bila kuficha. Unaweza pia "kutingisha kiberiti". Mchokonoe kutafuta ukweli bado ikiwa ni mapema kwa kumwambia "ikiwa mambo ndio hivi bora yetu yaishe". Ikiwa lengo lake ni hilo atanasa tu, na utakuwa umempunguziamzigo wa kutamka lile ambalo yeye hana ubavu wa kulitamka. Mwisho wa habari ni wewe mwenyewe unayejua unachokitaka. Kila la heri.
ni kwel nampenda sana na haya yote yameanza baada ya kumuonesha waziwazi jinsi ninavompenda kwan hapo mwanzo nlikuwa nikimuuliza ki2 kama hicho anajibu fresh bt now fulu kuringa!
 
Pole kwa yanayokusibu,
communicate communicate moyo wa mtu ni kiza kinene mno hakuna taa ya kuweza kumulika ukajua kilichomo unless mtu mwenyewe aseme
mweleze akupe sababu ya yeye kufanya hayo yote mpe mipango yako kwake na muombe sana asikupote zee muda kama mbivu au mbichi unaomba kuzifahamu sasa.
 
Umbali nao unachangia haya mambo jamani, heri jirani aliye karibu kuliko mzazi/ndugu aliye mbali. Huyo binti sio malaika ni binadamu na anaweza kupata majaribu pia ktk mahusiano, kama kweli unampenda umechukua hatua gani kuhakikisha unamsaidia asiangukie majaribuni, hasa ukijua hampo karibu? Fanya juhudi kumshauri na kuhimiza upendo wako kwake. Akikataa basi atakukumbuka huko mbele ya safari. Ni kweli warembo wako wengi lkn A si sawa na B. Kilinde na kukipiginia kile ulicho nacho hadi pale utakaposhindwa

hivi inawezekana kuhimiza mapenzi eenh?!kuanguka majaribuni ni uamuzi tu dadangu,nionavyo mimi.au labda hii ndo sababu mimi nilisumbuka sana in relationships!naamini katika mahusiano huru na ya wazi,kama hakukuwa shinikizo katika kuingia ktk mahusiano husika.ikishakuwa vinginevyo yatakuwa ya upande mmoja na binafsi siwezi kaa pa hivyo hata kwa mwezi tu!!
ushauri wangu kwa mdau:chapa lapa jamaa,sio wako huyo!mawasiliano ndio kila kitu.yakikosekana kwa mazingira unayoyasema basi chances are 90% unadanganywa/umeachwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom