Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Saikolojia na maisha Kiafya Tendo la ndoa ni moja...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Eti kuna habari kwamba watu wakiishi katika mahusiano ya kimapenzi muda mrefu sana huanza kufanana katika mambo mbalimbali kam vile sura na tabia je ni kweli au uzushi?. karibuni sana wanajamii...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 26(nipo chuo),sijawahi kufanya ngono tangu kubalehe sasa nahitaji ila nashindwa kumpata mtu sahihi wasichana wawili niliwapenda kwa wakati tofauti wakanikataa,kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa habari nilizozipata just now, mashoga na wasagaji wa Tanzania wako kwenye kikao cha kujadili haki zao ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo Tansoma hotel. THIS IS TOO MUCH
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Je, unakumbuka siku ya kwanza ku-do na mpenzi wako...??? Je, ulijisikiaje baada ya tendo....?? Je, unakumbuka siku ya kwanza mlifanyia wapi...?? Je, unakumbuka mlikutana naye wapi kwa mara ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mh i feel like now i should have a fiance ready for marriage but the prob is on the list i just had "ONE OFF" kinda relationships what should i do? This mean there's no one i can promote (on the list)
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Would you let your boy/girlfried/fiance/wife/husband be frind with her/his ex? (especially the one who used to be the love of his/her life)
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kaka amegundua kuwa nina mahusiano ya kimwili na nyumba ndogo yake. Ananihoji kwa simu na tayari mambo ni magumu kwenye uhusiano wao. Nifanyeje?
0 Reactions
70 Replies
7K Views
MAPENZI YA DHATI HAYACHAGUI RANGI,DINI,SEHEMU WALA KABILA.ILI KUTHIBITISHA HILI WAPENZI WAWILI WALIOKUWA WAOANE IKIWA IMEBAKI WIKI MOJA TU BIBI HARUSI ALIPATA AJALI AKAFA GANZI(PARALYSE) KUANZIA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I AM LOOKING FOR COMPUTER SCIENTISTS EXPERT GEEKS FOR SHARING VARIOUS CHALLENGES AS FRIENDS. My areas of interests are:- 1.Programming (PHP, Android(Java),C,C++) 2.Systems administrations (Linux...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
je,ukigundua mpenzi wako alizaa before kuwa nawe na hajakuambia utafanyaje..? je, ukimuliza akakubali utaafiki..?? je ukafahamu ana mtoto lakini anawasiliana na mzazi mwenzake kwa siri na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mimi nina miaka 22 nipo dar! Natafuta gf wa long term relationship. Sina kigezo chochote.aliye tayari tuwasiliane katika Johnekwa2@yahoo.com
0 Reactions
7 Replies
2K Views
my name is gorge from mwanza tanzania am searching for friends my contact +255686338299, email godfreyem@yahoo.com:A S-rose: love u all
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa wanaJF Salamu. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hii misemo na ushauri kuwa unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya, unatakiwa usimwuulize, wala usiangalie past ya mwenzi wako! Hapa...
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Salaam JF! Ninaweka wazi ninayopendezwa nayo. Ninao marafiki wakike/wakiume. Tumeweza kuwezeshana katika mambo mbali mbali ya kila siku...ili kufikia malengo yetu. Naiweka wazi nafasi hii kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna demu nilisoma naye primary skul,kipindi hicho 2likuwa wote viranja ktk category ya usafi hapo skul, baada ya hapo 2mekutana mkoa flani 2kiwa vyuo tofauti, sasa anadai ananipenda na anaomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi unapokuwa unajiandaa kufunga ndoa wewe bibi arusi, halafu ikatokea mshenga wa bi Arusi ni mrembo zaidi ya bi Arusi inakuwa vipi, utajiskiaje????
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..
2 Reactions
25 Replies
3K Views
wenye experience ktk hili tusaidiane... eti upatapo safari either ya kikazi, kifamilia au binafsi zinazokulazimu usafiri kwenda mbali au nje ya mkoa humuagaje mpenzi wako? vipi? Kwa stail gan? I...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
I am wondering, no matter how many relationships you might have in your love life, there is one which you never get over. What is the cause of this? Of course the bad side of it is that it...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom