Natafuta jamaniii....natafuta mwenzenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta jamaniii....natafuta mwenzenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by D'angelo, Jul 21, 2011.

 1. D

  D'angelo Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta mrembooo mwenye umri kuanzia miaka 24-26 awe mpenzi wangu.....bt awe tayari kuwa nami kwa upendo kabisa awe na kazi yake.....awe tayar kupima.......
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  awe tayari kupima nini sasa,.......sema kitu gani maake siku hizi magonjwa ni mengi sana
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Haya, endelea kutafuta utapata tu. Kazi kwenu warembo, offer ndo iyo!
   
 4. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Sasa unamtafutia humu, kwani umempoteza humu?

   
 5. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  .

  Lete picha yake na sisi tukusaidie kutafuta, umetoa taarifa polisi?
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kasema anatafuta wala siyo anamtafuta, huna huo urembo nini?
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Igwe na wewe, umesahau vingine, hata uzito na urefu huwa vinapimwa.
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hivi why searching women in JF,inamaana umeshindwa kabisa kumpata mrembo kitaa cha kwenu!nawashangaa sana hawa watu wanaofanya mambo kama haya!very ******
   
Loading...