Wanawake msaada!

SMART1

Senior Member
Nov 2, 2010
133
48
Wadada naomba mnisaidie, mnapokuwa kwenye uchumba ni kutoa unyumba kwa wenzi wenu ni rahisi sana tena bila masharti sasa kwa nini mkiolewa inakuwa ngumu sana kutoa unyumba na kuja na sababu kibao mara nimechoka, ninausingizi. Je, hudhani kwa kufanya hivi ni kumfanya mumeo awe na mapoozeo?
 
Aisee!
 
Ni dhahiri kabisa you are trying to be SMART na kwamba unaongea from assumption hata hujaoa....

Please do not push us MMU ladies... mmoja wa muhimu kapigwa BAN jana usitusababishie tuongezeke....

Haya nenda shule sasa... Umechelewa....
 
Never get angry.Never make a threat.Reason with people!

signature yako inahusika sana hapa dadangu.
 
No Smart anasema amabacho tumekisema na tutaendelea kusema....................mkitunyima tamuz kwa kisingizio chcochote kile ni ku violate haki zetu za msingi, mnatuapa chance ya ku opt out kwa haraka sana.......................habari zenyu infidelatrs wote pamoja na Babu
 
Mimi kama mke nakwazika kabisa na kauli hizi.... Most wanaume wana element ya UBAZAZI haiepukiki tokana na their true nature.. Najitahidi saaana kwa mume wangu akiwepo... BUT deep down i know toka niko nae I am not the only woman he has slept with na ndoa yangu sio matala sema tu sababu zaweza kua za msingi... but still mimi sijampush ni nature yake Tafadhali acheni kutupia lawama kwa wake zenu.... Dah!
 
MJ, well noted...
hawa watu wanalilia haki zao wakati hawako tayari kutimiza wajibu wao...

Ukinyima kuna wanao toa with no COST
 
My sis!
ninyi wanawake kwenye maisha yenu tendo la ndoa sio kipaumbele ndio maana huwa mnaresist some times. But kwetu wanaume Tendo la ndoa lina nafasi kubwa sana ndio maana hata ukimnyima mumeo chakula hawezi kasirika kama ukimnyima tendo la ndoa. Na kumnyima mwanaume tendo la ndoa ni unyanyasaji wa hali ya juu no matter with whatever reasons. sababu genuine ni hedhi tu.

Am a married man!
 
Nani alikwambia... mimi ni mwanamke na nikiwa na mume ambae haipi love making kipao mbele as per your say siwezi muelewa mpaka kuwe na sababu za msingi... Wanawake wanamajukumu mengi mnoooo na hivo wengine bahati mbaya waweza kuta yuko disorganised ndio maana akashindwa kubalance mambo na hivo kuchoka kila siku na kuona taaabu ya wewe kumgusa hasa kama unarashia na hutimizi wajibu wako wakumridhisha.... Hio statement nime blue.... sio kweli....
 
On the contrary, nadhani wanawake wakiolewa wanapenda sex zaidi ya waume zao na ndio maana kuna cry all the times kwamba hawako satisfied!

Chunguza kwa makini zaidi!
 
Kweli kabisa unayosema, lakini kuna wachache ambao huwa ni wavivu wakishaolewa...
Mimi nadhani pia wengine wanakuwa wagumu kushiriki tendo na waume zao kwa sababu labda hawatoshelezwi na wanaona kama kero, muhimu ni kujichunguza kwanza na wanaume wenyewe kama wanashiriki kikamilifu na tusiishie kuwalaumu tu kwa hilo...
 
Ashadii!

Mimi kama mwanaume naumizwa sana hiki kitendo; kwa kuwa kinanilazimaisha niwatazame wanawake wote kwa jicho jingine.........nyie wazuri mambo yakiwa yanawendea upande wenu vizuri aah utamfurahia mwanamke; iliyo mara nyingi visa uviskiavyo ni kuwa mke / mpenzi wa kike kumnyima mwanaume; ingawa wapo pia wanaume wachache wenye kuwanyima wake zao..............
 
Wadada naomba mnisaidie, mnapokuwa kwenye uchumba ni kutoa unyumba kwa wenzi wenu ni rahisi sana tena bila masharti sasa kwa nini mkiolewa inakuwa ngumu sana kutoa unyumba na kuja na sababu kibao mara nimechoka, ninausingizi. Je, hudhani kwa kufanya hivi ni kumfanya mumeo awe na mapoozeo?
No point...unaongea from experience au unatest zali...??
 
Ashadii!

Mimi kama mwanaume naumizwa sana hiki kitendo; kwa kuwa kinanilazimaisha niwatazame wanawake wote kwa jicho jingine.........nyie wazuri mambo yakiwa yanawendea upande wenu vizuri aah utamfurahia mwanamke; iliyo mara nyingi visa uviskiavyo ni kuwa mke / mpenzi wa kike kumnyima mwanaume; ingawa wapo pia wanaume wachache wenye kuwanyima wake zao..............

Anae kataa sio kichaa maana ni wazi kua kuna starehe yake... kama kweli hiio starehe anaipata, sioni sababu za yeye kukataa tu, otherwise kuna kitu mmegomban/kwazana mara kwa mara.. Tofauti kubwa kati ya wanawake na wanaume ni kwamba mkikwazana mwanaume bado anataka kufanya hilo tendo kana kwamba hio ni entity tofauti na huyo mke whereas kwa mke it is vice versa...
 
Ashadii,

We need to compromise otherwise mie nitasepa fasta na kujihudumia huko outside; kwa kujua hilo kwanini mnaendelea kucheza na hatari ya kutubania mazima? don't you know kuwa mnashirki katika kutupelekea kuamua uamuzi usiofaa?
 
Problem ni kua wenza weeengi don't talk about these things radher wana complain kwa watu ambao hata sio wahusika... if you complain and discuss it with your better half it will yield positive results... Pia ukizingatia kutaka kujua why she does that, and what makes her tick??
 
Back
Top Bottom