Tujikomboe

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Nimekuwa mfuatiliaji kwa muda mrefu kuhusu katabia ambako kanakonyweshwa na akina dada ,wanawake wengi ambao hawapendi kuchangia gharama za matumizi.mkiamua kutumia ,kutanua,kujifurahisha ,vinywaji ,chakula,kulala,kusafiri,kujirusha nk.eti utakuta mekunywa,mmekula,mmepumzika kwa raha zenu ,mmekodi usafiri lakini mwanamke hachangii chochote ,tena anataka naye apate chochote(mgao),je sisi wanaume kwanini tujirahisishe kiasi hiki ?kwani wao akinadada hawahitaji kama wanaume? Au ni wanaume tu hujisikia?huo usawa uko wapi?kwanini hawapendi nao kujitoa?huu ni uungwana?
 
mi pia huwa wananikwaza sana,sijui wakoje vile. kwanza kuna vitu huwahawavizoe hata kama anavyo au kwao vipo. kwanza chips kuku na usafiri (gari)..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom