Kuna ukweli hapa?

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Kuna mtu aliwahi kuniambia,kama umemtokea mwanamke kwa muda aafu akawa anazingua punguza mawacliano naye.kama alikuwa anazuga basi atakutafuta,lakini kama alimaanisha na yeye anakusahau! hii imekaa vipi?

Hakikisha umeona dalili fulani za mahaba then anajifanya haelewi ila kabla hujaziona dalili we komaa tu, we women, learn to love, mwanaume anatokea alipotoka, alisha draw interest kwa muda mrefu, kwa hiyo kwake inakuwa rahisi kutekelez kwa kukwambia, but akilifikisha, mwanamke anaanza kuangalia vitu vinayomvutia mpaka anaanza kufall, umeelewa?

Kweli 100%!!!!!!...

Ninyi wanawake ni unpredictable!

kwa hiyo nikiona unachukua muda mrefu nikawa kama nimekupotezea,utantafuta?

Blackberry Amenena "women learn to love". Kuna binti nilianza nae long distance (bolingo ya telefoni), nikawa very nice to her - mashairi, sera na nyimbo nyingi. Akawa ananiambia you are a very nice guy i hope i will learn how to love you better when we are close 2 each other. Back then sikuelewa what she meant. Nilikuja kuelewa baadae. Mapenzi ya wanawake yanaanza chini na ku grow when they learn n get to know you better WAKATI sisi tunaanza juu na kumaintain au kwenda chini overtime. It vice versa.

kwa hiyo nikiona unachukua muda mrefu nikawa kama nimekupotezea,utantafuta?
Ina tegemea, kama ulishanifuatilia vya kutosha, na kuna vitu nilipenda juu yako nitakutafuta, ila unaweza ukawa umekata tamaa mapema nikawa bado sijapata picha kamili, nauchuna tu

we mwanaume, usikate tamaa fatilia mpaka uone mwisho wake, kama anakupenda matunda yake utayaona

Kama umeingia uvunguni mwa mtima wake atakutafu na hilo halina ubishi ila hakikisha kwamba ameona utofauti na umemzowesha vitu fulani adimu kama story,sms na suprise fulani fulani.

sasa mtu unakomaa naye mwaka mzima ila bado anakuzngua,sasa c hata upendo unaanza kupungua?

Kama umeingia uvunguni mwa mtima wake atakutafu na hilo halina ubishi ila hakikisha kwamba ameona utofauti na umemzowesha vitu fulani adimu kama story,sms na suprise fulani fulani.

dah! inahitaji uwe mjanja mjanja unavyoanza!

Back
Top Bottom