Ni sahihi kwa wasiokuwa wapenzi kubusiana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sahihi kwa wasiokuwa wapenzi kubusiana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ulimakafu, Aug 13, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kwa tamaduni hizi za sasa za kimagharibi ,si ajabu ukakuta watu wasiokuwa wapenzi wana hug/busiana hadharani.Je hii ni sahihi kwetu waafrika kufanya haya?
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Waafrika wa wapi? Kwa watusi ku hug ni sehemu ya utamaduni wao, wana hug kila mtu wakisalimiana naye isipokuwa mhutu.
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Waafrika sio utamaduni wetu, wengine kukaa tu karibu na mkwe hawaruhusiwi, itakuwa ku hug
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kweli,kama ni nje ya mhutu wana-hug siyo?Hiyo ni noma mkuu.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha watu waishi maisha yao...

  We kinachokudanganya kwamba sio wapenzi mpaka ufikie conclusion ya kwamba sio sahihi kwao kufanya hivyo ni nini haswa?!Ukweli wanaujua wao na sio wewe....hata kama ni watu wako wa karibu!!
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmmh..........
   
 7. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Mi nadhani inategemea na mitazamo yao, usahihi au kutokua sahihi kwa jambo fulani inategemea na mtu binafsi regardless uzungu au uafrika wake
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio vibaya ila hilo kiss lisizidi mipaka.
   
 9. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inategemeana namna gani wanabusiana. Wahispania na Portugal ni utamaduni wao.
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  kwetu hapa hapana
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kwa mimi kuna marafiki wachache ambao kama sijawaona long time lazima niwape hug; marrafiki wa kike karibu wote nawapa hug kama sijawaona long; wa kiume ni wachache sana wanapata hiyo bahati. Kissing big No. Naweza kukiss rafiki wa kike tu na ni cheek kiss si french kiss.
  It is only my hubb who gets tongue kiss.
  Wanangu nawabusu kwenye forehead to show love.
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hapo ndo penye tatizo,maana huanzisha mengine.
   
Loading...