Anae nidrive craizy ni kicheche. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anae nidrive craizy ni kicheche.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Aug 13, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Hello jf!ebana,yan me kati ya wasichana wangu wote nlio na uhusiano nao,anae nichanganya zaidi ni kicheche,yani huyu hata 2kiznguana kidogo bac me nitajishusha yaishe,huyu ndo nina hisia nae,huyu ndo nahc kumpenda kwa dhati.tatzo liko sehem moja,ye anagawa pembeni na me ninagawa vile vile!!je,2naweza 2kafanya ki2 flani ambacho kinaweza kubadili uhusiano we2 ukawa ni wenye maana zaidi kuliko ulivyo sasa??
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yes, kama kwake naye ni wewe unaye "mdraivu krayize~", pimeni, mwoe, kisha mbebeshe ki-baby!! Else, play on play on playa!!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  kudadeki..... Na wewe kuwa gucheche
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  senetor, u need proffessional help! kwenye zama hizi za ukimwi?
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kazi ni kwako.
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Inaonyesha hamridhishani au
  Ni vicheche tu
  subirini kinga ipungue muanze dawa
  Mwisho oaneni kabisa ili muanze kufumaniana.
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama teja!
   
 8. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Demu anakuona hauko serious, hauko committed ndio maana na yeye hayuko serious, hayuko committed. Yaani hapo wewe ni kama marekani unapigana vita nyiingi na huwezi kuconcentrate na yoyote wala kushinda yoyote. Pia kwakuwa hamko serious ndio maana unamzimia sana kwakuwa mna spend little time together. Ukiamua kuwa serious na kuspend lots of time together unaweza ukagundua demu sio magoli kiivyo.

  However, kama unataka kummiliki kikweli inabidi u-get serious. Na u-invest time, energy, military, politiko (mashairi na sera kama Lukuvi), financial, emotional na psychological Resources. Utavuna unachopanda. Ukipanda seriousness, committment, true love & affection utavuna hicho hicho & vice versa.
   
 9. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mnazi umepata mkwezi
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unasema yeye kicheche na wewe una gonga nje vile vile yani kwaufupi nyote Vicheche.....pole sana usawa wenyewe huu wa manati Mungu akuondolee balaa ulilonao.
   
 11. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  fuata ushauri wa post # 8 utakusaidia ikiwa huyo demu unampenda kiukweli.
   
 12. N

  Ndoano Senior Member

  #12
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Achana nae hakuna kitu ambacho utakujajutia kama kuoa kicheche maana kama anafanya sasa hapo baadae atashindwaje?
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hata yeye atasema mpenzi wake anaempenda ni kicheche, ngoma droo.
   
 14. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Umeshagundua ni kicheche. Unasubiri nini sasa? Ngoma?
   
 15. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hapo mmekutana vicheche wawili hakuna tatizo.
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wewe Choko au SHOGA? Yaani unaliwa ndogo?
   
 17. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  fanya kitu kwenye hayo mahusiano, la sivyo utakuja juta, mi nilidhni wanaume wanapenda wao tu wafanye nje wanawake zao no, ss wewe imekuaje unakubaliana na hiyo hali, au mliandikiana mkataba?
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Baba Enock duh sidhani kama alimaanisha hilo
  Ina maana hapo na yeye anakitembeza kikojoleo chake kwa wengine
   
 19. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wote ni balaa kumbe sasa kaeni muamue kuacha maisha ya ajabu na mfanye mambo ya maana
   
 20. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hakika ni utoto tu.....!
   
Loading...