Hivi kwanini unapotafuta mchumba wa kike lazima akuulizie mshahara wako? Kwani kuna uhusiano gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini unapotafuta mchumba wa kike lazima akuulizie mshahara wako? Kwani kuna uhusiano gani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by QULATENI, Aug 14, 2011.

 1. Q

  QULATENI New Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kati ya mapenzi na mshahara
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unauliza nini tena hujui kwa nini wanakuuliza kama unapata shilingi 5 utawatunzaje?

  Mie nadhani unakutana na wenye tamaa jaribu kuendelea kusaka maana mwanamke mwenye akili hatakuuliza moja kwa moja atatumia ujanja kukusoma na kujua katika maongezi yenu na hutajijua kuwa kama anataka jua amekufuatilia

  Na akitaka anachomoka au anakaa nawe akijua mtajenga maisha pamoja from A.

  Endelea kusaka ila duh unawapatia wapi hao wanaouliza
   
 3. C

  Chosen 1 New Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbongopopo yuko sahihi. Wanaulza hvo qa kujali future yao
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kaka hilo ni swali la msingi asipo kuuliza utaumbuka mbele ya wajomba.... TEMBOCARD MASTERCARD
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hawa wenzetu wahitaji security zaidi ndo maana anahitaji kuwa na uhakika. Watakuja waseme wao wenyewe.
   
 6. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  If and only if women think their future is in the salary, they are lost.
   
 7. H

  Health man New Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naona tunaludi kulekule "no money,no honey"...pesa ndo inanawisha mapenzi!
   
 8. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kama usivyopenda kuulizwa mshahara wako, ndivyo wasivyopenda kuulizwa umri wao. Tegemea kudanganywa aidha atakupa pungufu aonekane mdogo ama atazidisha aonekane mkubwa.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hiz thread zipo ngapi????
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  ukimuona wa hivyo jua ana tamaa na anafuata hela.cha kufanya usimuache hivi hivi,mudanganye una mshahara mkubwa ili akushobokee then unamchoma baada ya hapo unakula kona na siku ya kumchoma humpi hata shilling 10.ukiona anakugasi unamuambia "SIKUPENDI".mia
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Makubwa haya..!!
   
 12. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Wala sikusaidii inategemea na wewe ulimwingiaje sasa kuna mwingine unmtongoza mwanamke siku hiyo hiyo unampa bussiness card imeandikwa director kampuni ya mjomba wako unataraji nini kuna mtu anaetaka shida sikuhiizi ingawa si wotte m wangu nilikutana nae open napiga paper hana kazi m ndio napiga piga nimalizie degree yanagu baada ya kuachana na civ engineering nimeoana nae hana shi wala she nikamwamini mungu ndie alietupangia leo napanda shangingi la serikali nikiitaji napiga simu ni kumtanguliza mungu akuonyeshe nani wa kweli basi...
  Si kwambii ukatafute wa serikalini am lah mtangulize mungu mema ya nchi unakula hapa hapa dunian nani kakwambia mema ya nchi iko mbinguni baibo iko wazi mbingu ni za mungu na nchi ni za dunia..sasa we ishi kwa shida usianze kujitoa kwenye hizo shida ujipe moyo wa kula mema ya nchi ukifa loh hukohukumu tu kwa kwenda mbele!
   
 13. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Omba Mungu. Mke mwema anatoka kwa Mungu na si kwingine.
   
 14. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  ndo maana wabongo wengi wanapenda kuajiriwa nini?kumbe kuna maswali ya mshahara kabla ya ndoa!staki kuamini....
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,585
  Trophy Points: 280
  No romance withought finance kaka.
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Wako kifedha zaidi!
   
 17. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Inategemea, nadhani kwa future ni kuangalia maelewano ndani ya uhusiano. Anayeulizia mshahara huyo anataka kudanganywa sasa! Hapo ndipo wadada wengi wanapotea....
   
 18. GABOO

  GABOO Senior Member

  #18
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  si wote kaka,kuna mademu sio tegemezi,kama utaleta kidogo na ye kidogo ina kuwa freshi
   
 19. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hakuna uhusiano wowote kati ya mshahara na mapenzi ya kweli. Ni hivi, akuanzae mmalize. Akikuuliza na wewe muulize kiasi chake cha mshahara kwani asije akaku ATM bureee.
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mi nataka kujua kila kitu..
  mshahara, nyumba, benk account
  magari yote, nyumba ndogo ngapi unazo
  ilitugawane sawa kwa sawa... etc
   
Loading...