Shocking! Female Rapists Terrorize Men In Zimbabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shocking! Female Rapists Terrorize Men In Zimbabwe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by X-PASTER, Aug 13, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Female Rapists Terrorize Men In Zimbabwe

  [​IMG]
  Police in Zimbabwe are searching for a group of women
  who are drugging men and raping them at gunpoint
  .
  Police in Zimbabwe are on the trail of a group of women who have been raping men, usually at gunpoint, since last year.
  Cases of men who have been sexually abused by women are common in the country and hardly a week passes without such a report being made in the media.

  The motives of these women are not known, but there is speculation that they may be doing this for ritual purposes.


  Click HERE to Read More
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hivi mwanaume unabakwaje? Just curious! Unaweza kweli kuerect under pressure?
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mtakoma...ngoja waje bongo!!
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hawa wanatakiwa sana pale posta! Wanaume viwembe wenye kutaman taman mtakoma!
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mie nimeshangaa huwa inasimamaje sasa?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tena kuliko viagra!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tupeni picha za hao wabakaji kwanza tuone wanalipa au ndo wale wale!!
   
 8. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Kama dume hujawahi kubakwa ujue huvutii hata kidogo.
   
 9. H

  Hute JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,053
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  dada, mwanaume yeyote hata kama under pressure, akiona k tu inasimama hata kama hataki, so nafikiri wanachofanya hawa wanawake ni kumkamata, kumvulia nguo akiona makalio na kei iliyonona inaonekana, hata udner pressure inasimama...kusimama kwa mb ya mwanaume si tatizo kama kutoka maji wa mwanamke...nyie wanawake hadi utoke maji wakati mwingine inachukua dakika kadhaa, wanaume hata ukigusiana na mwanamke kwenye daladala tu tayari imesimama...hata kama unatoka kanisani, pengine hata mlemle church mnasali mawazo yote kusali ukigusana na mwanamke inasimama...so kusimama kwa wanaume ni kufumba na kufumbua tu...

  imagine mwanamke amekuvulia nguo, anakugusagusa na mimatiti yake, anakuinamia kimgongo kukuonyesha makalio ya mchina, anakulazimisha kwa gunpoint ushikeshike ki.simi, ukiona vyote hivyo mwanaume hajasimama, ujue huyo ni mwanaume mwanamek...ila real man lazima anasimama chapchap hata kama hataki...this haiendani na saikologia sana kama ilivyo kwa wanawake...labda kama alikuwa frustrated napo atachelwa kukojoa lakini kusimama iko palepale..
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kusema ni mwanamme yeyote nadhani umekosea kabisa. Sisi wengine hata katika hali ya kawaida tu haisimami kama sijaamua. Hivi unaanzaje kumsimamishia mtu ambaye hamjuani wala hakuhusu? Kama ni hivyo basi madaktari wanaoshughulika na magonjwa ya wanawake wangekuwa wanasimamisha hadi wanaugulia. Nafikiri kusimamisha kupo akilini zaidi kuliko kuona kwa macho. hata ukaona mwanamke mzuri kama mindi yako umeiambia siyo mzuri, wala haisimami. Ni kama kuangalia picha za ngono, kuna mwingine akiona tu mkanda wa ngono basi hali mbaya, mimi hata niangalie mtatu au minne, kama sijaiambia akili kwamba hiki ni mhimu, wala sipati mshawasho wowote. Ninafikiri hao wabakaji kwangu wangechemka.
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280

  Usemayo kweli Lukolo mwanaume ktk hali ya pressure hawezi kabisa erect hata kama mwanamke afanye madoido yote. Ila pia inanishangaza kuna wezi wanvunja nyumba na wakimkuta mke wa mtu au house girl huwa wanabaka na wako kwenye pressure na hofu ya kuogopa kukamatwa. Hii sijui ni mapepo au ritual kwani huwa sipati picha ktk hofu kubwa kama ile ya wezi bado wanasimamisha na kubaka.

  Nijuavyo mimi mwanaume timamu ili afurahie tendo la ndoa lazima akili itulie sana na isiwepo stress, maumivu, hofu wala pressure la sivyo huku chini kutagoma kabisa.
  Pia sijajua hawa ladies walikuwa wanatumia mbinu gani kuwalazimisha wanaume ku erect at gun point kwani mimi ukileta hata machine gun ufikiri ndo nita comply ndo utaniogopesha zaidi na kila ninapozidi kuogopa ndo mali zinatoweka kabisaa na kuzama ndani
   
 12. H

  Hute JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,053
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  nyie si wanaume rijani...labda ni mimi tu. yaani jana nilipiga tatu...lakini leo hii ninapotembea barabarani, nikiona siketi imebana tu inasimama...what kind of pressure we dume zima utaogopa kwa mwanamke? kwanza si bahati iyo unaona kama almasi imejileta yenyewe? hakiyanani mimi hata kam under pressure, itasimama....labda kama nyie ni wazee.
   
Loading...