Jamani wanaojua wapendwa wangu hawa wako wapi
hivi lile sakata walilimalizaje..lakini shetan mbaya sana
sana ila nahisi ifike wakati tujue umuhimu wa kujiheshimu
kwenye mahusiano wanaowajua waambien bassy jr anawasalimu sana
Ni sawa ila kifupi tuna mambo mengi ya kujadili, sasa kila mtu akija hivi Ray C na yule mvuta bangi wameishia wapi si itakuwa balaa. Suala la mahusiano ni binafsi na kuacha au kuachwa ni matokeo kama kukubaliwa au kukataliwa! Kifupi walishaachana baad ya uhusiano wao kudumu kwa muda wa miaka nane na Jafarai alikuwa na mpango wa kuzaa na huyo mama lakini hilo halikutimia wakaachana na kuhusu kurudiana sijasikia maana ni kama waliachana kishari vile.
Jamani wanaojua wapendwa wangu hawa wako wapi
hivi lile sakata walilimalizaje..lakini shetan mbaya sana
sana ila nahisi ifike wakati tujue umuhimu wa kujiheshimu
kwenye mahusiano wanaowajua waambien bassy jr anawasalimu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.