Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

heshima zenu wakubwa. wiki iliyopita nilikutana na yule msichana niliyeomba ushauri kwenu kwenye post inayosema nimfanye nini huyu msichana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa Natumaini wote mlikuwa na weekend njema. Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
If it is not valentine's day and you see a man in a flower shop,you can start up the conversation by asking,'what did you do?'
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ya Ijumaa wana JF, naomba tujuzane, ukikuta wallet ya Mr ina business card ya massage clinic wakati haujamsikia ata sikumoja km alienda massage inakuwa imekaa vp hii? na vp ukiikuta katk...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo.... Akikushushia heshima kwa namna hii: "Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!" Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Great thinkers. Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu. Mke wangu ana tatizo...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
maisha gani uishi na mpenzi wako asiweze kukusaliti na kukuchoka mapema?
0 Reactions
112 Replies
7K Views
Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Kuna kibabu flani mtaani kwetu juzijuzi tu hapa kimemuoa binti mdogo tu aliyemzidi kama miaka 30 hivi! Ulikuwa ni mshangao street coz hawa watu hawamatch hata kidogo! People 2namshangaa sana yule...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
When little Dante is old enough, his parents will sit him down and ­explain that ­"Mummy couldn't have babies... so daddy did it for her." That's because this cute toddler was born into...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi nilishuhudia braza akiambiwa na mkewe kuwa ana roho mbaya kwa sababu ambazo sijui hasa chanzo chake nini. Mambo yalianzia room kwao na baadae ikawa ugomvi hadharani. Kwa kweli walirushiana...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani hili neno ndugu lawama kila mtu anaweza kulitafsiri kivyake lakini kwa mimi ni wale ndugu ambao hawaridhiki hawataki kufanya kazi wao kutwa kucha ni kulalamika tu na kufuatilia mienendo...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kila kabila lina utamaduni na utaratibu wake kuhusiana na mahusiano ya wakwe. Kwa mfano, makabila mengine wakwe hawawezi kutamazana au hata kuwepo mahali pamoja. Makabila mengine kule kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakubwa.kuna rafiki yangu mkaazi wa hapa kibaha anaishi na mama yake mzazi,baba yake mzazi alitangulia mbele za haki miaka 10 iliyopita.Jamaa ni kiwembe kuliko na mpiga maji kama...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Habari wana JF Nimekuwa nikijiuliza kwa namna fulani suala la uchaguzi wa jina la mtoto. Mfano, mmezaa mtoto na mpenzi wako. Wakati wa kupendekeza jina kwa mtoto, mpenzi wako akawa anasisitiza...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Mpwa wangu (mtoto wa dada yangu) amenifuata asubuhi hii akilalamika ana miezi miwili hatafaidi ndoa yake. Kila aombapo mchezo mkewe humwambia amekatazwa na mwalimu wake wa mazoezi ya viungo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari zenyu.. sitaki mtu wa kutafsiri ndoto yangu ila nimeota kuna member wa JF kafa huu mwaka kabla haujaisha. wana JF mrudieni Mungu
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Dada yenu mkubwa ndani ya familia kabahatika kwenda kusoma USA, na akiwa mwaka wa mwisho wa masoma yake anawaletea barua wazazi wake. Nanyi pia mnabahatika kuiona barua hiyo inayoeleza ya kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu me ndo kwa mara ya kwanza najiunga na kitengo hiki jaman naomba ushirikiano coz nmechoka kuwa guest katika jukwaa hili. big up alll.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom