Wanawake ambao HAWAJATUMIKA: Vyuoni wapo wengi tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ambao HAWAJATUMIKA: Vyuoni wapo wengi tu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshaji, Aug 11, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anayetaka kujua nimejuaje basi ani-PM lakini amini nawaambieni nimeshuhudia mwenyewe kwa "macho" yangu na si kuhadithiwa.
  Ni kweli wapo tena wengi tu, mi mwenyewe sikuamini lakini ukweli ndo huo.
  Hivyo wale wote ambao huwa wanawaghasi hawa wenzetu kwa mawazo ambayo ni kinyume na hiki nilichoshuhudia mimi, waache mara moja.

  Nasisitiza wapo, wapo, wapo....., tena wengi tu. Ukiamua ku-search huwezi kosa. Cha muhimu ni kuepuka papara, kuwa na subira, nia njema, busara na nidhamu ya hali ya juu.

  Note:
  Nime-confirm mwenyewe kuwa sio "temporarily renewed".
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Hizi lugha zingine zinadhalilisha wadada....
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wako!
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  .....Na si kwamba wakiona umeandika hivyo ndo wadada wooooooote wa jf "watakukimbilia".
   
 5. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Ni kweli wapo, hata mie nimeconfirm tena kwa wawili sehemu/vyuo tofauti. Hivyo nakubaliana nawe kabisa. Wengi wao kinachowasaidia mpaka kufika vyuo vikuu ni misimamo na mazingira yao wakati wa sekondari. Big up kwa waliojitunza.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umeconfirm vp?
  Yaani unathubutu kuuweka uchafu wako hapa ndani!
   
 7. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika vile vigezo nilivyoweka we umekiuka kile cha "Nia Njema".
   
 8. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,072
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Bwana Magamba we umeshawaharibia hao wawili unaosema,jitihada zote za kujitunza zimeishia kwako. Au ulijuaje/Confirm vipi???????????
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lugha hizo hizo pia huwa zinatumika na madaktari wa MEWATA.....so nao huwa wanadhalilisha..?
  Acha kueneza chuki zisizo na msingi.
   
 10. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Soo..tuna soko zuri tuu hapo kwa mswatii...nitaiambia wizara husika ikawatafutie ajira huko swaziland
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wewe unayetest wasiotumika, mbona wewe unazidi kutumika tuu? kwa nini na wewe wa dada wasikukimbie wakasema umetumika sana? huyo unayemsifia tayari ushamharibu sasa akija mwingine atalalamika hajakuta sealed kumbe umetumia.
   
 12. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Angalia kipengele cha nia njema:
  Never tested before, and since then never ever tested otherwise.
   
 13. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Duh kwa hiyo umeshamwaribu mdada wa watu
   
 14. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapana.
   
 15. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Sasa umetest vipi? Sijakuelewa.
   
 16. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bahati mbaya utaalamu wangu kwenye ku-quote ni mdogo.
  Ila nimeeleza vizuri kwenye post #1 hasa ule mstari wa kwanza maneno ya mwanzo mwanzo.
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo na wewe ulienda kudonyoa ili uconfirm au?
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  dah! Sawa mkuu, watakuPM.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kuna kama 400 wanatakiwa huko kwa Mswati...
   
 20. The only

  The only JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  wanyaturu kwa kutafuta vi cheap populality
   
Loading...