Natafuta mke!

Awe mkristo, umri 20-25, Elimu kuanzia kidato cha 6, Mrefu, mweupe. Nawasilisha,,,
<br />
<br />
Unatafuta mke??? Umeshachukua) polisi? Nani kakwambia ameingia mtaa huu?

Nwy huwezi kupata mke kabla ya mchumba, na huwezi kupata mchumba kabla ya mpenzi,vivyo hivyo huwezi kupata mpenzi kabla ya rafiki!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom