Kwa nini wanaume wengi kwenye ndoa ni wabaili??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wanaume wengi kwenye ndoa ni wabaili???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Aug 14, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Nimekuwa nikishirikia katiko wito mwingi wa kusuluhisha shida za watu za ndoa
  katika hili ni vizuri nikujuze wewe unaejiandaa kwenye ndoa ndoa ni kutumika
  nimeangaliawanaumewengi wakiwa kwenye uchumba wanatumia kweli wakiingia
  kwenye ndoa wanabadilika kama smahani kuita hili"kenge"" ama kinyonga

  ifike wakati tujiulize umejiandaa vipi kwa ajili ya ndoa ndoa si kuvaaa pete tu
  na kunywa na kula na kwenda chooni nyumba inaanza baada ya saa sita na nusu wana
  posema sasa wanaharusi wakapumzike hapo ndipo nani kasa nani garasa linaanza
  wakati huu wa kujiandaa kwenda kanisanai kushiirki ibada takatifu naomba nikujuze
  iwapo una tabia hiyo hilo ni roho spirit ya ubaili unaitaji kujitoa na si hivihivi kwa maombi
  binafsi ya kufunga na kukeshaa..hii itakusaidia kuishi kwenye raha katika ndoa..

  Umeoa huyo ndio wa kutumia nae aijalishi una kipato gani kaaeni chini wekeni vipato vyenu
  kuleni mema ya nchi acheni maisha ya ubahiri ndoa gani unamtoa mkeo mpaka siku ya bday
  hiyo ni laana ukiangalia na wazazi wako walikkuwa wanatoana siku za bday sasa jitoe
  aina garaama sana ni kujianda tu na kupanga sala zako mungu akusaiidie kuishi kwa raha jamani
  mema ya nchi unakula hapa hapa duniani nani kakwambia mema ya nchi yako mbinguni baibo
  iko wazi ukifa inafwata hukumu na mbingu ni za bwana bali nchi ni ya dunia ...akili kichwani

  wish roho ya kusihi kwa raha na starehe kwenye maisha yenu mungu aondoe kale karoho
  ka ubaili jamani yaani natamani nianzishe kaibada cha kuombe na kukemea ubaili kwenye maisha
  ya wana jf ..weewe unaacha maharage na ugali kwako unakwenda job unarud i unakaa
  rosegarden/bpoint unazungusha round kama mwehu na laki zako unaondoka na alfu 30 ndio
  maana nasema hata wale wanaopiga vidole kwenye nguo zetu ruksa kama mkeo wengine wanachoka
  ati yaani nyama ule wewe alafu umletee vijiti mkeo na uchafu wa nyama mdomoni shamee
  shamee shamee

  hope kubadiliaka soon
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa kuna wanaume duh wagumu kuliko jiwe yani pesa anaitolea chooni,ukitaka pesa ananunaaa...akaaa mie mwanamme hivyo apana bora kukosa kuliko mashaka hayoo......
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Mi wala sina mpango wa kuoa!!
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Inategemea na ubahili wenyewe. Kama pesa anayoifanyia ubahili inatumika kwa mambo ya msingi kama vile kujenga, kulipa ada za watoto au labda kuanzisha biashara mpya.......hapo sawa. Lakini ubahili usiokuwa na manufaa kwakweli hapana! Kuna wanaume wengine wabahili nyumbani kwake alafu akitoka nje anaenda kutumbua na marafiki zake, ukimuomba hela anaenda kuhesabia pembeni, kuletewa tunda mpaka siku ukiugua wakati ye kila siku anapigiza makreti ya kufa mbweha........khaaa!!!
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  mwaya wazo lakao zuri raaha ujipe mwenyewe babu ukisubiri utapewa kinondoni cementry wakikushushia michanga na udongo ukutane na waliona hamu uwaachie wanaweka na jiwe kabisa usiamke
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Si haki sawa bana kwanini alaumiwe mwanaume pekee?
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,731
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Umetoa maelezo marefu lakini hujaeleweka. Unaposema ubahili una maana gani hasa hapa? Kingine mimi nilidhani ukisuluhisha ugomvi wa ndoa yaliyoongelewa yanabaki kuwa siri yako na wahusika sikutarajia yaanikwe kwenye mtandao. Kwa ufupi wewe ndugu yangu maadili sifuri kabisa.
   
 8. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yap! Uonevu mtupu!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wanawake tujishughulishe tuache kutegemea waume zetu kwa 100%, wakati mwingine wanaume wanafanya makusudi ku2nyima hela za mengineyo na kwa makusudi wanaacha hela kidogo inayotosha ugali "jela" ili mke uchukie uamue kujishughulisha. HAKUNA MWANAUME WA KIZAZI CHA SASA ANAYEPENDA KUISHI NA MKE GOLIKIPA.
   
Loading...