Naomba ushauri wenu!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Mimi nafanya kazi taasisi moja ya serikali. Ktk ofisi yetu niko mm na dada mmoja sijaoa na yeye hajaolewa na tumetokea kupendana sana, binti kwa kwel anatabia nzur kwa ujumla yake mpaka kunawatu wananishauli nimuoe na mm kwel nampenda sana naona naweza kuishi nae vzur.
Naombeni ushauri wenu jaman hivi kuna madhara gani mkioana mkiwa mnafanya kazi ofisi moja?.
 
Ni jambo la kawaida na we si mtu wa kwanza kua na mahusiano ya namna hyo.
Ofisin kwetu Kuna mshua wangu anafanya kazi ofisi moja na mkewe.yeye mwenyewe anasema hajisikii bomba sana.ila hana sababu za msingi ambazo zinamfanya asijisikie vzr.
Hvyo km umempenda binti na unaona anafaa kua mke muoe kwan mapenz ya dhat hayachagui.kimsing na la muhimu ni kuzingatia kazi mpnz badae.
 
Sidhani ka kuna sababu ya msingi itakayowafanya msioane eti kisa mnafanya kazi sehemu moja. Kinachotakiwa ni upendo wa dhati, uaminifu na msimamo wenu!
 
Usiinyime nafsi yako furaha...

Tena raha kweli maana mtakua mnaenda wote kazini!
 
rekebisha kwanza ndio uoe,then mchunguze vizuri mana wadada wakiwa wanataka kumteka mwanaume wanajibadilisha kwa muda na kuficha makucha yao na ukishaoa ndio anaanza kuonyesha uhalisia wake.

Kuna mambo ya msingi ya kuchunguza kabla hujamuoa msichana yoyote.
Usikurupuke be careful
 
Mimi nafanya kazi taasisi moja ya serikali. Ktk ofisi yetu niko mm na dada mmoja sijaoa na yeye hajaolewa na tumetokea kupendana sana, binti kwa kwel anatabia nzur kwa ujumla yake mpaka kunawatu wananishauli nimuoe na mm kwel nampenda sana naona naweza kuishi nae vzur.
Naombeni ushauri wenu jaman hivi kuna madhara gani mkioana mkiwa mnafanya kazi ofisi moja?.

Sioni kama kuna ubaya kwa hilo. Kama nafsi yako imeridhia na umemchunguza tabia na kuona anakidhi vigezo vyako, U can go ahead man.
 
Kama unampenda usichelewe hayo yakuchunguza kama anabalaa utalijua ukiwanae,anaweza kujifanya mwema hata miaka 5 bora kama umeshaamua muewe chamsingi nikumuomba mungu awape masikilizano ndoa yenye baraka na amani..
 
mazingira ya kazi siyo sababu kuwa mapenzi yata vurugika au yatakuwa vp! Chamsingi ni kujua thamani ya penzi lenu na kuheshiminiana.
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu Ara awazidishie kheri. Nawatakia ramadhan njena
 
Back
Top Bottom