nzedanze
Member
- Jul 13, 2011
- 44
- 1
Habari zenu mabibi na mabwana? kweli hapa jamvini kunavitu vingi sana nimevipata kutokana na michango yenu kwenye topic au maswali mbalimbali ninayo uliza sasa kunakitu kimoja kinanichanganya sana nacho ni;
Wanawake mara nyingi sana hulia machozi kama ishara ya kujutia kosa....lakini nimekuja kubaini kumbe wengi wao hua wanaigiza tu.....Je kunaishara nyingine tofauti amabazo naweza kuziangalia kwa mwanamke anayejutia kosa na kunifanya niamini ni kweli anatubu,maana hii ya kulia naona ni uchakachuliwaji tu