Sisi tumeumbwa kusamehe au ni ujinga na utumwa?

Smartmind

Member
Feb 17, 2011
31
6
Jaman wadau mi najiuliza hata sipati jibu wenzetu majuu mwanaume akiku-cheat mara moja tu hiyo ndoa ndio byebye, hata kama ni miaka 2 nyuma ukijua leo ndo imetoka hiyo...... lakini huku kwetu ishakua jambo la kawaida wamaume kila siku leo karuka na mdogo wako, kesho shoga, mtondo jirani, jana binamu hata housegirl, na unagundua lakini unasamehe na kusonga mbele, ni huruma, ujinga, au uoga wa kuishi bila yeye?:angry:

we huwa unasamehe kwa sababu gani? Mi nasamehewa kwa sababu mi ni handsome, so anajua kabisa sitakataliwa na wengine na yeye kuniacha haitawezekana koz hatampata kama mimi.

we huwa unasamehe kwa sababu gani? Mi nasamehewa kwa sababu mi ni handsome, so anajua kabisa sitakataliwa na wengine na yeye kuniacha haitawezekana koz hatampata kama mimi.

he he he!first born,hongera kwa kuwa handsome..hivi uhandy unasaidia mtu kusamehewa ee?

he he he!first born,hongera kwa kuwa handsome..hivi uhandy unasaidia mtu kusamehewa ee?

sana! Huyu nae kakosa topiki hadi anauliza sababu ya wapendanao kusameheana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom