Ukimwi jamani!

imekuwaje?....umekoswa koswa nini......Tahadhari kabla ya Hatari ndugu..

Ila hii kitu inatisha kusema ukweli. Unaweza ukapima leo ukakuta upo negative, lakini kesho tena ukiambiwa urudi ukapime upya, unaogopa. Sijui kuna kitu gani katika hili gonjwa.

Amua kwanzia leo hutokua na mahusiano ya kimwili na mwanamke yeyote maana we unaweza ukawa mwaminifu ye akakuletea!!

Dawa ya penzi nayo inaweza ikakuangusha!!

Alafu jitahidi kutotumia nyembe na sindano zisizoeleweka hovyo na mapambano yaanzie hapo!!

hii ni crash talk ya kipindi cha ukimwa kudos lizzy

beba plastic bag mkuu..
sahau kila kitu lakini si Condom..
(maana hii ndo njia pekee inayomaliza)

Ni kuwa mwangalifu tu na kupima
kila mwaka...

Kwa hali ilivyo sasa hivi, Ukimwi is nothing. Kuna magonjwa mbaya zaidi ya Ukimwi kwa Tz hii, umeshawahi kufikiria Kisukari, BP, stroke, me kupigwa na ke-mpaka wengine wanajinyonga! Malaria na mengineyo, haya magonjwa ni haatarishi kuliko Ukimwi.
Chukua hatua

Mie sijui huwa nina moyo mgumu, yaani napima kila kipindi cha kucheki afya, hwa nacheki afya kila baada ya miezi sita, naomb Mungu aniepushe na hili gonjwa, cha ajabu watu wanaogopa ukimwi kuliko hata kansa

Amua kwanzia leo hutokua na mahusiano ya kimwili na mwanamke yeyote maana we unaweza ukawa mwaminifu ye akakuletea!!

Dawa ya penzi nayo inaweza ikakuangusha!

Alafu jitahidi kutotumia nyembe na sindano zisizoeleweka hovyo na mapambano yaanzie hapo!!

Mimi i trust no CONDOM now,ni fake fake fakero kabisaaaaa na
malengo ya utengenezaji wa condom ni kuua watu,....

Bora kuwa mwaminifu kwa Mungu na kwa mwenzi wako BAAAAASI

Mie sijui huwa nina moyo mgumu, yaani napima kila kipindi cha kucheki afya, hwa nacheki afya kila baada ya miezi sita, naomb Mungu aniepushe na hili gonjwa, cha ajabu watu wanaogopa ukimwi kuliko hata kansa

Huko mbali dada,..
mwingine utakuta anakwambia
"speaker vaa condom".....

Unauliza kijinga jinga tu,..."kwanini?...unaogopa nini kwani?"

anajibu "Naogopa mimba",....yaani wengi wanaogopa mimba kuliko hata ukimwi,...
Ila honestly,nimegundua watu wengi wanakufa kwa uoga wa kupima tu,.....

Na wengine tuna ukimwi wa "mawazo" tu na unatuua hivi hivi,....kisa?uoga wa kupima

Duh yaani anaogopa mimba kuliko ukimwi?nahisi tu aashindwa kukwambia naogopa ukimwi koz utamwambia ina maana umeniona mie mgonjwa?

Amua kwanzia leo hutokua na mahusiano ya kimwili na mwanamke yeyote maana we unaweza ukawa mwaminifu ye akakuletea!!

Dawa ya penzi nayo inaweza ikakuangusha!!

Alafu jitahidi kutotumia nyembe na sindano zisizoeleweka hovyo na mapambano yaanzie hapo!!

Amua kwanzia leo hutokua na mahusiano ya kimwili na mwanamke yeyote maana we unaweza ukawa mwaminifu ye akakuletea!!

Dawa ya penzi nayo inaweza ikakuangusha!!

Alafu jitahidi kutotumia nyembe na sindano zisizoeleweka hovyo na mapambano yaanzie hapo!!

Kupanga mikajati ni rahisi lakini ukiona ile kitu mikakati yote inaparanganyika.

Mimi i trust no CONDOM now,ni fake fake fakero kabisaaaaa na
malengo ya utengenezaji wa condom ni kuua watu,...

Bora kuwa mwaminifu kwa Mungu na kwa mwenzi wako BAAAAASI

ikiwa mwenza sio mwaminifu kwako?

Back
Top Bottom