Nachelewa kuingia kwa bedi ..... hataki....

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Mpaka sasa niko na laptop, mchumba kalala, ni kesi kwa kesho asubuhi, nisaidie mawazo!
 
Kwa nn sasa unamwacha mwenzako analala mwenyewe,mie kirudi tu naweka kila kitu pembeni mpaka nahakikisha keshalala kabisa ndio naweza ingia tena
au nisiingie kabisa, na muda mwingisafari ni nyingi, wewe hata hujamwoa unafanya hivo, anaweza tumia kigezo hicho kukudisquqlify
 
panga muda wako vizuri ... laptop huwezi kukaa nayo hadi saa 8 ucku ... tumia laptop yako yeye aangalie tamthilia then zikiisha na wewe zima laptop mlale
 
hebu tupa laptop kuuule af wahi faaasta kapige mekup sex utaona mwenyewe mwisho wa siku utaona analia afu hutaelewa analilia utamu au bado ana hasira
 
Jirekebishe, sio unaganda tu humu huku unaharibu mambo yako mengine, jipe ratiba
 
Nashukuru kwa mawazo yenu, illa nieleweni jamani, nikiamka asubuhi umeme hakuna - nalazimika eidha kulala au kudhurura, namwambia bibie kuwa siwezi kuwa home bila umeme kuwepo, umeme unapokuwepo tayari nakuwa na mambo ya kufanya - kazi na kuwasiliana na wapendwa wangu wa JF mnaosoma hii mada. Bila umeme mapenzi kwa shem / wifi yenu yatakuwa mashakani , na sio kwangu tu!
 
Kwa nn sasa unamwacha mwenzako analala mwenyewe,mie kirudi tu naweka kila kitu pembeni mpaka nahakikisha keshalala kabisa ndio naweza ingia tena
au nisiingie kabisa, na muda mwingisafari ni nyingi, wewe hata hujamwoa unafanya hivo, anaweza tumia kigezo hicho kukudisquqlify
Ana kandoa na mimi (mimba) kuniacha itakula kwake.
 
Wewe ni kizungurukamoto. kwanza unaishije na mchumba kama siyo uasherati aka uzinzi. Huyo nae alale tena afunge domo lake aisjaribu kukuuliza, alipashwa awe kwao kalala. Faida ya kuishi bila ndoa mtaijuitia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom