Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako BEYOND KEYBOARDS.Bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena Arusha kwa ajili ya wana JF wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa Arusha.
 
Mh! Ngoja na mi nifanye fanye niende huko....maana kila anayetoka huko.....
 
huku huwa watu wakarimu bhana, wakijaga huwa hawaondoki kirahisi kirahisi, hata hivyo karibu tena kaka.
 
Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako BEYOND KEYBOARDS.Bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena Arusha kwa ajili ya wana JF wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa Arusha.

Na mm itabidi niende Arusha nikatoe angalau tongo tongo
 
Fidel uhakikishe unapata kibali cha kuingia maana bila hicho huwezi kuingia hapa wala hutapata makaribisho ya kutosha
 
Woote MNAKARIBISHWA ARUSHA, yako mambo mengi ya kufurahia ATown kutana ana wana JF ATown live, mbarikiwe!!!!!!!!!
 
Fidel uhakikishe unapata kibali cha kuingia maana bila hicho huwezi kuingia hapa wala hutapata makaribisho ya kutosha

Nifanyaje ili niweze kupata kibali?
Napenda sana nije Arusha nakosa mwenyeji huko.
 
Mkuu wenyeji wako wengi tuu ni kiasi cha wewe kutoa tuu taarifa kuwa unakuja
Utashangaa wakatakavyokupokea wengi na kila sehem nzuri utapelekwa
 
karibu sana ukuja tena nitakupeleka shivaz na mtk bar usijali utakua vyupa na bata kwa sana
 
<font color="#0000CD"><font size="3"><b>Woote MNAKARIBISHWA ARUSHA, yako mambo mengi ya kufurahia ATown kutana ana wana JF ATown live, mbarikiwe!!!!!!!!!</b></font></font>
<br />
<br />
Kuna ofisi za wanaJF HUKO?
May be kama ipo nami niweze kufanya mchakato wa kufungua ofis huku nilipo.
 
Back
Top Bottom