Chonde chonde kinamama!

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Mara nyingi kinamama mnatusimanga kuwa wanaume ni dhaifu, hatuna uaminifu kwenye kwenye mapenzi in short mnasema we are born cheaters,ngojeni sasa niwaeleze sababu: Wakati ninyi wanawake mmeumbwa na KICHWA kimoja sisi wanaume tumeumbwa na vichwa VIWILI. Bahati mbaya haiwezekeni vichwa viwili vifikiri kwa wakati mmoja na ndo maana kimoja kikiwa active kingine automatically kinakuwa offline.Kwa hiyo msishangae kwa baadhi ya maamuzi yetu ( kama kulala na housegirl,secretary ofisini,mke wa jirani etc) yote haya huwa tunaamua kuyafanya kwa kuongozwa na kichwa ambacho ninyi hamkuumbwa nacho na ndo maana huwa mnashangaa inakuwaje tunaamua hivyo.kwa hiyo siku zote wakati mnatuhukumu kumbukeni jambo hili.
Nawatakieni weekend njema.
 
duh ya leo kali imenifurahisha haswaa. kweli bwana vichwa viwili ndio maana na
maamuzi mengine lazima yamzidi mwenye kichwa kimoja.
 
message sent kwa wakina Lizzy, FF, etc wanaohisi tuko sawa kwa kauli yao "haki sawa" otesheni hicho kichwa cha pili sasa tuone
 
Serikali mbili ndani ya nchi moja! Ndio maana kuna maamuzi "magumu" huwa ninayanya lakini siyaelewielewi!?
 
kuotesha kichwa cha pili sio only alternative, tunaweza ku-opt kuwafyeka kichwa cha pili au cha kwanza,whichever is more useful na tukawa sawa tu!

message sent kwa wakina Lizzy, FF, etc wanaohisi tuko sawa kwa kauli yao "haki sawa" otesheni hicho kichwa cha pili sasa tuone
<br />
<br />
 
nina amini wako w.me ambao wametulia katika ndoa zao na hawajawahi kutoka nje ya ndoa zao.cheating ni tamaa tu,sio kwa kuwa mna vichwa 2.

Kisukari ukiona m.ume ana vichwa 2 lakini ametulia kama m.mke ujue kimoja hakifanyi kazi sawa,. acha kubishia kazi ya uumbaji bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom