Wanawake.....huwa mnajisikiaje?

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Inavyoonekana katika tendo hili la ndoa,, wanaume ndiyo huwa wanasikia raha saaaaana kuliko wanawakem na ndiyo maana huwatoa kwa pesa wapenzi wao. Hivi mwanamke mzima unajisikiaje unapomegwa na baadaye jamaa "kukutoa"? Hata kama ni b/f wako.. kwanini kama ni hela asikupe tu kabla au wakati mwingine mpaka akumege kwanza?? Hamjisikii kujidhalilisha?? Kama si kweli, basi mbona wanawake hawawatoi wanaume na pesa ukiacha yale ma sugar mamy?
 
Matusi hayo,mtu kumegwa ndo kufanya nini?
afu mods jana nilianzisha thread waka nambia wanafanya screening kwanza ndo itaonekana?
Ina maana na hii imepita kwenye screening kweli?
 
its natural mwanamk ambae sio mkeo anapokupa halua
na wewe umpe zawadi fulani.......
so pesa inadondokea kwenye zawadi.....

kitumbua hakiuzwi wala hakitolewi bure lol
 
kwani huwa nani anahisi raha zaidi? Wanawake haohao mnaowalipa ndo haohao wanaodai kuwa hamuwaridhishi, mwanaume utafanya kila jitihada umuweke kileleni lakini mwisho unalipa, khaaa! Upuuzi mtupu, kuweni waaminifu kwenye ndoa zenu bhana.
 
Nilimmega demu mmoja nikampa mshiko akanitukana mbaya, akaniambia unanipa pesa za nini? umeniona mimi malaya sio akaniambia dont do it again, akaniambia i make love with you because i love you not your money. hanipip akiwa nashida na mimi, anakwenda hewani, tokitoka out for lunch, some time she pay some time i pay.
 
Maswali mawili ya nyongeza 1. Hivi ilikuaje mpaka hyo malighafi ikaitwa kitumbua? Je! Kuna uwezekano nyingine zikawa ni kitu mbwaaa! 2.Swali la pili- Kwa kuwa hyo kitu inaitwa kitumbua, na kwa kuwa ulaji wa kitumbua huhusisha kukimega, je! Neno "kumega" lilizaliwa baada ya hyo kitu kubatizwa jina la kitumbua?
 
hawa wapo but siku hizi sio wengi
 
Nilimmega demu mmoja nikampa mshiko akanitukana mbaya, akaniambia unanipa pesa za nini? umeniona mimi malaya sio akaniambia dont do it again, akaniambia i make love with you because i love you not your money. hanipip akiwa nashida na mimi, anakwenda hewani, tokitoka out for lunch, some time she pay some time i pay.
Yah kama anao owezo why not, ila kwa mfano unatoka na msichana hana kazi au mwanafunzi bado lazima umpe nguvu mwendo
 
Maswali mawili ya nyongeza 1. Hivi ilikuaje mpaka hyo malighafi ikaitwa kitumbua? Je! Kuna uwezekano nyingine zikawa ni kitu mbwaaa! 2.Swali la pili- Kwa kuwa hyo kitu inaitwa kitumbua, na kwa kuwa ulaji wa kitumbua huhusisha kukimega, je! Neno "kumega" lilizaliwa baada ya hyo kitu kubatizwa jina la kitumbua?
<br />
<br />
Mkuu kwa jina lingine kinaitwa KIGOZI MANYOYA. Haaah haaaaah haah.
 
Lol..wanawake bana!
Wanamegwa,
Wanachakachuliwa,
Wanaliwa,
Haya maneno yote yanakubalika?
 
Back
Top Bottom