Height is nothing but a number

Wote wawili hakuna anayejipenda; kwa watu wanaojipenda huchaguana pasipo kupishana sana maumbile. Kwa mwonekano huo hawawezi kupita sehemu wakaambiwa kuwa wamependeza.
 
<br />
<br />
Kupendeza ndo nini wewe?
 
duh!this is too much.ingawa height iz nothing bt hawa hawana haki ya kuungwa mkon ktk hl,maana hawajatendea haki muunekano wao!hahahahaaaaa they are so funny to see!
 
sijui ni mimi tu
naona kama hako kadada kanateseka hivi...lol
baba lote hilo limlalie kila siku lol
 
Wote wawili hakuna anayejipenda; kwa watu wanaojipenda huchaguana pasipo kupishana sana maumbile. Kwa mwonekano huo hawawezi kupita sehemu wakaambiwa kuwa wamependeza.

kalagabhao....yaani mapenzi yenu wawili mpaka msubiri kuambiwa na watu mmependeza......ebo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom