"Wanawake/wanaume weusi wanajidharau sana"... je nikweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Wanawake/wanaume weusi wanajidharau sana"... je nikweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Imany John, Aug 14, 2011.

1. Imany John

Imany John Verified User

#1
Aug 14, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180
Wanajamvi natumaini mu wazima wa Afya!

Nimekuwa nikifiria sana kwa muda mrefu na nikaona ni vizuri kushirikiana mawazo,

Ndugu yangu MKESHAJI AMEWEKA CLEAR MAWAZO yangu kwa thread Yake ndo mana nimeuliza hivi.

Kwa upande wa pili wanawake/wanaume waeusi kwa ngozi zao wanajidharau(they feel inferior) just kwa weusi wa Ngozi zao na hili linathibitishwa dhahiri kwa wimbi kubwa la wadada/wakaka weusi wanavyohaha kujichubua nyuso zao ili wawe weupe.

Je ni kweli Wanawake/wanaume weusi wanajidharau??

Note.:sio wanawake na wanaume wote.

2. First Born

First Born JF-Expert Member

#2
Aug 14, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
mh! Huenda.

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Aug 14, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Umesema TAYARI IMETHIBITISHWA alafu unarudi kuuliza KAMA NI KWELI?!

Wewe ndio utuambie....

4. Imany John

Imany John Verified User

#4
Aug 14, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Kama unakubali unga mkono my sis lizzy.

5. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#5
Aug 14, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
zaidi ya wanaume wa Congo zijaona wanaume wengi wanajichubua na nadhani sometimes its just going with fashion... kwa kipindi hicho doing something extra does not necessarily mean kwamba mtu hataki alichonacho....

Wazungu wengi wanafanya tanning in order to appear darker...., its just an iconic thing...., ingawa if the community perceives something as beautiful obvious someone who lacks that might have some inferiority complex that she is not beautiful na hii kitu sio sana kwenye ngozi bali ni kwenye size ya mtu btn european countries na African countries

Au Size ya bottom kwa Brazillian Countries..., Size of the chest kwa some european countries... (its all how the community perceives) lakini what matters its how the person appreciates him/herself

6. arabianfalcon

arabianfalcon JF-Expert Member

#6
Aug 14, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 2,292
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
kama unavyosema sio wote,na wengi wanao kua hivyo sababu hawajiamini ukijiamini.

7. Imany John

Imany John Verified User

#7
Aug 14, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

Only congolies??

Usiwatetee wanaume na wake wa KiTZ.

8. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#8
Aug 14, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Mimi nijuavyo (Haijathibitishwa) wanaume wenye light skin (weupe) huwa kidogo hawana confidence kama waliyonayo weusi!.

9. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#9
Aug 14, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Orait...naunga mkono hoja!!!

10. Imany John

Imany John Verified User

#10
Aug 14, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

So unataka kusema ni sababu za kiurembo tu?
Na sio kujidharau?

11. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#11
Aug 14, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
Mkuu most Congo men.., na kuthibitisha kwamba hii ni fashion na perceive ya community mambo ya mkorogo yamepungua siku hizi sio kama zamani... uongo au kweli..???

Zamani mwanambe bila nywele ndefu alikuwa anajiona kama amepungukiwa sana lakini siku hizi unaona wanawake wengi tu wanakata nywele zao fupi na wanaonekana wamependeza/na wanaona wanapendeza....

So its all about fashion na kipindi cha wakati fulani am sure baada ya miaka unaweza kuona watu wanajipaka rangi ili wawe wa blue kama at that time being blue utaonekana ipo cool ni kama kipindi fulani watu walikuwa wanaweka curry kwenye nywele sio kwamba hawapendi nywele zao bali its just the time was like that...

Hivi sasa mkorogo unaonekana kama ni ushamba fulani (au uongo...???)

12. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#12
Aug 14, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
hapa ishu ni kwamba mawazo yako naya fananisha na ya fid q anavyokuambia da mwajuma uswahilini anavyojichubua sio kwamba anakimbia uafrika..

hapa kwa hilo sidhani na walio wengi ni wakutoka uswahilini ndo wanaitikadi hizo..

13. afrodenzi

afrodenzi Platinum Member

#13
Aug 14, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 18,135
Likes Received: 2,398
Trophy Points: 280
mmhhh
Hatujidharau sababu ya ngozi zetu ..(individual {mtu binafsi})
Bali kuna ambao wanatudharau(saa nyingine wenyewe kwa wenyewe tunadharauliana)
na kuna wengi wanaichukulia hilo dharau kutoka kwa wengine vibaya
ndo maaina wanaishia kujichubua..

kuna mambo mengine yanayochangia pia....
advertisement, peer pressure , media ,
environment ect... ......

14. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#14
Aug 14, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Sio kujidharau LittleX........siamini katika binadamu kujidharau....ukisema kutojiamini yes nitakuunga mkono but not kujidharau.....kujidharau inamaanisha ni kujiona hufai kabisa hata ufanye nini, but kutojiamini ina maana huamini kama unaweza unless uwe na sifa nyingine so unatafuta cha kucompensate............... mf. Mwanaume mweupe anaweza asijiamini mbele ya wanawake kama atakuwa na wanaume wenzie weusi UNLESS aongezee mapompas, avae smart, anukie utajiri n.k (zaidi ya rangi au uasili wake) but kama anajidharau it means atashy away kabisa na kuondoka.

15. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#15
Aug 14, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,238
Likes Received: 3,673
Trophy Points: 280
Aisee!Mimi ni kijana wa kitanzania,mwafrika,japokua sio mweusi kivile ila najivunia jinsi nilivyo,pia kama nikija kutaka mahusiano nitamuhitaji ambae yuko "natural"!

16. Imany John

Imany John Verified User

#16
Aug 14, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180

A gud say paw.

17. Z

Zedikaya Senior Member

#17
Aug 14, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 119
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mzuri pesa tu,sura kutambuana kama ndug nyumban kwen,kwa ss vibab ndo vinakul madem w ukwel.so whatever u a b proud an think v ur lyf

18. Sizinga

Sizinga JF-Expert Member

#18
Aug 14, 2011
Joined: Oct 30, 2007
Messages: 7,922
Likes Received: 454
Trophy Points: 180
Mungu katuumba wanadamu na kutupatia akili kumiliki na kutawala viumbe vyote vilivyopo ardhini. Mwanadamu katika uumbaji alikuwa mwa mwisho na baadae Mungu akapumzika na kuangalia vitu vyake vilivyo vyema machoni pake. Uumbaji huu wa aina yake, wa kufanana na yeye aliye juu umetukuka na yeye Mungu akaona vyema na akasema zaeni mkaongezeke mkaiijaze dunia.

Sasa cha kushangaza tunachokiona hapa duniani sasa hivi, wanadada wengi na wakak pia, wanabadilisha ngozi zao zilizoumbwa na mwenyezii Mungu kwa kemikali za kujipaka kwa hiari,wamezifanya ngozi zao kupauka na kuzifanya nyeupe si nyeupe, nyekundu si nyekundu ilimradi tu ni vichekesho huku mishipa ya damu ikionekena bayana. Loh Mungu wangu tuhurumie.

Kutokana na mikorogo, ngozi zao zimebadilika, ngozi ya kenge si kenge ni mabaka mabaka tu mwili mzima, tazama paji la uso jeupe,macho meusi mithili ya miwani ya jua, vifundo vya mikono na miguu vyeusi, ili mradi ni mikorogo tu ya rangi. Eti kisa ni mwenyezi Mungu kakosea kuwapa hao rangi nyeusi.

Achana na ngozi, nywele nazo kazi ni moja tu, unamwangalia msichana au mvulana inakuwa kama ni kichekesho, nyani si nyani, komba si komba, mbega si mbega, basi ilimradi yupoyupo tu. Watu wanahangaika na maisha, kwao mwenyezi Mungu amekosea.

Na ukiwaambia jamani mikorogo hii ina madhara kubwa kwa afya zao, hapo ndipo utapomjua mwanamke wa kibongo/mwanaume..."mwanga we, unanionea wivu we. Kama umefulia, tulia, na kwanza unikome kabisa" Watu hawa sasa hivi wamevuka mipaka na maadili.

sasa hivi wanatafuta uzuri eti wafanane na malaika wa Mungu, wanatumia vidonge na sindano, na hata kemikali za kukuza matiti na makalio..'toba' walah, hivi tunakwenda wapi jamani?? Yale waliyojaliwa hawaridhiki nayo, Mi naona kama wanamtusi Muumba wao.

Sasa maumbile yao yamewageuka na yanakuwa hayana tofauti na matairi ya nyuma ya trekta, yanakuwa ndembendembe, yanakuwa kama kinyago cha m-makonde uchwara.

Sasa hembu sikiliza hii ya firauni, baadhi ya wanaume wa kibongo licha tu ya mavazi yao ya kuvalia nguo mapajani a.k.a kata K-almaarufu, wao sasa wapo wanataka kujibadili ili wawe kama wasichana kimuonekano na nina uhakika kwamba wakipata fursa watatamani kuwa wanadada kamili.

Kuna wanakaka wengi licha ya nywele tu, wanapaka wanja na lipstick, na wengine kuchonga nyusi achilia mbali kubadili sauti na kutembea mithili ya kinyonga kama watoto wa kike.

Ili kujulisha ukweli huu wamedhihirisha kwa kujiita "MASHAROBARO". Hii ni nomino maana yake halisi ni msichana MREMBO. Anajipenda na kujisikia huku akitafuta kwa hamu KUPENDWA KWA HALI NA MALI. Hawa ni masharobaro wa kiume na si wa kike. Bora wangejiita MABAROBARO, Hali kidogo ingekuwa shwari.

Sasa cha kujiuliza uasi huu unatokana na nini?? Ee wabongo, ni ufinyu wa fahamu juu ya kile wanachokitenda ama?? Huu ni ulimbukeni wa kuiga hata visivyoigika, ni kasumba ya kuthamini vya wenzetu kuliko vyetu, ni ukosefu wa uzalendo, ni lack of confidence, ni utovu wa maadili na ushenzi uliopiliza.

Hii sio kazi ya shetani , ni utashi wa matunda ya wabongo wenyewe kwa jinsi maisha yanavyotubadilikia. Ni ukosefu wa shukrani kwa Mungu dhidi ya uumbaji wake. Ni dhambi na ni kufuru ya wabongo. hatujui tulitendalo.

WABONGO TUBADILIKE. wIKEND NJEMA!!

19. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#19
Aug 14, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,435
Likes Received: 19,779
Trophy Points: 280
na mimi nataka

20. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#20
Aug 14, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145

<br / KWELIII

Loading...