Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko...
Wengine mnawezafikiri natania ama ni story ya kupika kama porojo zingine ulizopata kuzisikia, lakini ni ajabu na nikweli. Kaka yangu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke yaani hii tabia yake ya...
Najua kwa hili wengine watasema ohoo mbona alishasema mke wake anamnyanyasa yeye na mtoto wake, na wengine watasema mbona alisema mpenzi wake alipata mpenzi kwenye mtandao akamsamehe na wako wote...
Hali hivi sasa ni mbaya kimaadili, wazazi wanatukana matusi ya nguoni mbele ya watoto na watoto nao wanatukanana bila wowote. Hii nimeishuhudia hapa mtaani, mama alikuwa anamtukana mwanae wa miaka...
Am going 32 in some coming months now. I'm not married but i have a kid, it happened that am moving with a certain lady hapa mjini leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano...
Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina
Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda?
Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa...
Ndugu wapendwa
kwa wanaotarajia kuoana siku ya jumamosi ni vyema mkaweka vyombo vyenu vya magari
kupunguza sababu za kutofika kanisani..mwisho na watakia mgao huu wa mafuta wa ngeleja
hope mtawahi...
Habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?
msaada tafadhali.
SIFA: Awe na elimu minimum form 4 + any professional cetificate
awe serious na mpole kidogo, awe mwembamba (slim) na urefu kuanzia 160cms kwenda juu.
mwenye bahati yake ambaye anameet hizo...
Wajameni
Kuna rafiki yangu kanifuata kuniomba ushauri afanyaje nami nikaona niombe msaada hapa jamvini,
Baba yake ni Dereva wa magari ya mizigo anaesafiri mara kwa mara mikoani na hata nje ya...
Habari zenu. Nimekumbwa na utata juu ya suala hili, siku hizi wakaka wengi kabla ya ndoa wanataka wahudumiwe kama kwamba tayari wameoa. Tendo la ndoa, Kufua, Kupika, Usafi wiki end na hata...
jinsia mo..hee!!
kwa wale wapenzi wa radio clouds fm hasa muda wa asubuhi...lazima mtakua mmeshakutana na kibwagizo hiki mara ule muda wa usomaji wa magazeti unapofika!!
my take:
Huwa...
Jambo lingine ambalo linapojitokeza kwenye ndoa, mtu anashauriwa kuvunja ndoa hiyo ni ufujaji. Mara nyingi wanaofuja ni wanaume, ingawa wanawake wapo pia kwa kiasi kidogo.
Kufuja namaanisha...
Kila kukicha kumekuwa kukitotea mambo mengi sana mema na mabaya katika maisha ya mwanadam,lakini wataalam wa saikolojia wamekuwa wakisema kila siku kuwa binadam huwa kama alivyo kutokama na malezi...
John Gottman, mtaalamu anayeheshimika katika masuala ya ndoa, anaripoti kwamba, ndoa yenye matatizo, inaweza kuongeza uwezekano wa kukuletea magonjwa kwa asilimia 35! Anaamini kwamba kuitumikia...
Daily Nation
It was a few minutes to 8 p.m. when Beths cell phone alerted her to a text message. Come with eight girls. Mix them in different styles. Take a cab and lets meet in South B, it...
Nauliza sababu nimeshuhudia wamama wengi walioolewa na (waislam wakifika umri wa makamo wanarudia imani yao ya awali ya ukristo,au the opposite)dini inanafasi ya kuwa na uhusiano uliobora na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.