Botro pati pati za kutongozana mnazikumbuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Botro pati pati za kutongozana mnazikumbuka?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Aug 19, 2011.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Polen mliozaliwa hivi karibuni'wenzeni tulianzishaga pati za kutafuta wenza
  ingawa weng waliishia kupotozeana muda na leo wanakutana kwenye shere kila
  mtu na bwana wake anyway ni moja ya maisha....je leo hiimbadala ni nini?

  Nakumbuka wakiimba wimbo mtu uanajifanya kwenda kucheza kwelihuo wimbo
  huku unamsogelea unaemuitaji baada ya muda mkiwa mnacheza unaifwata nyimbo
  kidogo kama unaijua alafu unajifanya kumsalimia bibie gafla mnaondoka hata kabla pati
  aijaisha wapi sijui...ila wengi walikamatika sana ingawa leo wako na familia zao nyingine

  nawatakia mabinti wote waliochomoaga hizi pati na leo wako kwenye ndoa zao furaha njema
  na bigup bila kusahau wale waliokamatika wasikate tamaa na kufikiria muda wao yaliopita
  sindwele tugange yajayo.....angalia maisha ya mbele usifikirie kwa nini ulimwacha yule
  kisa shida unayopata kwenye ndoa huyo ndio umeandikiwa wako milele baanana nae

  jion njema jaman
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 824
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 80
  Bottle party zilikuwa noma... Mziki bure ila kinywaji unajinunulia! Ole wako uwe hujachangisha hela za tuition afu uzame kwenye party kichwakichwa...
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,443
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaa, kuimba... Halafu lazima uendane na bit kdg hachomoi
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe upo darasa la ngapi?
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu mtu mzima huyu, mpaka aongelee botle party?mie mwenyewe nilikuwa nawaona tu ndugu zangu wakubwa wakiwa wanaenda, badae ziliisha kabisa
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Kwa chagga people hii haikuwepo,ni ilikuwa kuvizia tu,unapiga mtama unajibebea unapeleka home,hakuna wa kuhoji kwa nini umemteka binti wa watu.
   
Loading...